Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Nipo karibu na upande wa baba kuliko upande wa mama. Ingawa wote tunawasiliana vyema....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ,, unataka kusema wote ambao hawana ukaribu na ndugu upande wa baba wanatumia mmea ??Nafikiri shida ilikua ni mmea unaotumia
hiyo n nzuri sana, mimi walikua hawatupendi ever since tuko watoto wakija nyumban wanamwambia baba hatujamfata mtu zaidi yako sio wanao sio mkeo halaf wana expect sasa hivi niwatafute hell naaaa yani mpaka baba angu mdogo mmoja akaja akamwambia mama tusameheane yaliyopita yapite shidaiko kwetu hatutaki hata kuwaona wala kuwasikia and yes tunaishi as if hatuwajuiAmen shetani akae mbali yetu.
Nasemea kwa upande wakoHapana ,, unataka kusema wote ambao hawana ukaribu na ndugu upande wa baba wanatumia mmea ??
Mengine unaacha yapite, samehe anzeni upya.hiyo n nzuri sana, mimi walikua hawatupendi ever since tuko watoto wakija nyumban wanamwambia baba hatujamfata mtu zaidi yako sio wanao sio mkeo halaf wana expect sasa hivi niwatafute hell naaaa yani mpaka baba angu mdogo mmoja akaja akamwambia mama tusameheane yaliyopita yapite shidaiko kwetu hatutaki hata kuwaona wala kuwasikia and yes tunaishi as if hatuwajui
no hujanielewa namaanisha kuna siku na mm ntakua shagazi au mama mkwe wa mtu, of course sina muda na maisha ya mtu hata hao mawifi wanasema mm nmsizoeleki wakat sihitaj mazoeaMwenzio tayari nolishaitwa shangazi , ma mdogo na nk. Muhimu usiingilie maisha ya kaka yako au dada yako... Ukiona mambo au jambo kaa kimya na ukishilikishwa kwa lolote karibu ku balance usiwe upande wowote!
HahahahaMimi si kwa upande wa baba wala Mama yaani ni ubaya Ubwela
Lisemwalo lipo.Ulijuaje ni washirikina mkuu ?
Huna ndugu mkuu hii ni ajabu,Mimi ndugu pande zote mbili walitukataa tukiwa wadogo baba yetu alipo fariki niliapa sitaki shobo na mtu.Hahahaha
Mimi tofauti kdg, Sina ndugu upande wowote ule
i wish ungekua unashuhudia vile vituko nilikua n mtoto lakini nilikua naona vile bi mkubwa anavumilia kitu ambacho mm kwenye nafasi yangu siwez kukivumilia yan jino kwa jino nilishasamehe but things can never be the same again.Mengine unaacha yapite, samehe anzeni upya.
Familia nyingi za kimaskini zinaishi hivyoSio ujomban wala kwa baba,,,, hatuna mazoea ya karibu kabisa tangia zaman ! Kuna watoto wa baba mkubwa hata siwafaham nawasikia tu , kuna flan sijui anaishi kule,,,, ujombani ndio kabisa ndugu wengi siwajui ,,, !!!! Maisha yanasonga, tunakutana kwenye sherehe na misiba tu !
Familia nyingi za kimaskini zinaishi hivyoMimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana.
What's your story?
Kutokana na mfumo wa maisha yetu ambapo wakina mama ni walezi wakuu wa familia zetu, na ni kama vile wanabifu na ndugu upande wa baba, tumejikuta watoto wanaoneshwa sana ndugu upande wa mama! Wengine ndio kabisa hawawajui ndugu upande wa babaMimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Kwa upande wangu nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana.
What's your story?
Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana.
What's your story?
Sitaki ata mazoea nao aisee maana ni ndugu vitu kuliko utuMimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana.
What's your story?