Uhusiano wako na ndugu zako wa baba upo sawa ?

Endeleeni, wengine tunasoma watu na ndugu zenu...
Tresor Mandala pole sana kaka.
Nuzulati hiyo ya Ubaya Ubwela nimeilewa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
kwa kweli mimi kwa sasa sitaki tukutane kwenye msiba au sherehe eti nielekezwe β€œMimi unanijua,Mi mjomba wako,shangazi yako au baba yako mdogo huwa naitika kwa dharau sana.
 
Umefanya vizuri mkuu....hivi viburi japo vya muhimu....lkn sometimes ni havitusaidii

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mtu wa Kabila moja anaeza kuwa ndugu?
 
Tuko karibu kama chanda na Pete. Kwa baba wako zaidi ya ishirini na kitu yaani baba wakubwa, wadogo na mashangazi. Tunapendana sana, mmoja akiumwa vibaya basi lazima usikie. Kila mwaka huwa tunakutana kijijini haijalishi uko wapi lazima uje, Kijiji ghafla kinakuwa mji Kwa ujio wetu, zaidi ya watu mia mbili hufika, Kwa hili nampongeza Babu wa Babu yangu, Happiness is simple.
 
Amazing πŸ”₯πŸ”₯
 
Dah! unabahati sana wengine wangeshafanya yao.
 
Sijapata fursa ya kua karibu na pande zote kiivo ila hamna kibaya, zaidi zaidi tunakutana kwenye events tunabadilishana namba!
 
Binafsi ni mm na mdogo wangu over,cjuagi kama kuna ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…