Uhusiano wangu na baba yangu

Uhusiano wangu na baba yangu

WEWE ni mjeuri na una kiburi,,ungekua unataka amani na baba Yako pindi amekupa masharti yake sijui ukamuombe msamaaa nana na nani kwanza ndio urudi kwake ungetekeleza...ajabu ww ukampuuza sijui kwann ila inaonekana ni kiburi chako Cha ndani..

Uyo ni baba Ako tu,,unasema una familia subiri na ww ilo toto lako litakuja kukutenga mpaka ukome..kijana acha kiburi na ujuaji Rudi Kwa baba Ako mnynyekeee msikilize na myajenge..na nenda kama mtoto sio kujiona mkubwa mwenzake kisa una kifamilia.
Sa kwa taarifa yako nlishafanya ivyo mara kadhaa mpk dada zake wa damu wakanishauri niachane naye tu kwasasa. Bahati mbaya humu watu mnatoa povu tu ila mzee wng mi ndo ninamjua na ndugu zake wanamjua kama ni msamaha nlishaomb sn tena sku ile ya msiba mpk machoz akasema mbele ya ndugu wote kwmb hana tatzo na mimi kbs mpk hapo mnataka nifate masharti ya kwenda kusujudia makaburi kwa lipi hasa? Sjawai mtukana baba yng, wala kumdhalilisha nliamua kujtegemea kuachana na maisha ya kula kulala mara tu nlipomaliza chuo haya mengne mnayoyasema humu pengne hamjui mzee wng.
 
Dogo tulia Kabisa Mungu atafungua njia paspo na njia Wewe una miaka mitano Mimi Nina 20 sijaonana. NAE yupo upanga nipo mbez ya kimara Kila mtu ana life lake
 
Baada ya ule msamaha wa kwanza ulikaa miaka mitano bila kwenda nyumbani kumuona baba yako halafu bado hujui kosa lako, ndio maana mama yako aliachwa na baba yako nadhani naye alikua na akili kama zako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
wewe ni mpumbavu na mkurupukaji sn na pengne umesoma na hujaelewa. Tulitoka msiban hata mwez haukuisha nlikwenda nyumban kumjulia hali na kuona kama kweli yameisha na haikuwa ivyo nikawasliana na ndugu zake wote karibu wakanishauri nipge chn kama ye aliweza kuwadanganya kwmb hana tatzo na mimi bs hakuna namna nisonge mbele tu.
 
hakuna mtu mvivu anayejiona kuwa ni mvivu,hakuna mtu mwizi anayejiona kama mwizi,hakuna mtu Malaya anayejuiona yy ni Malaya,hakuna mtu mlevi anayejiona kama mlevi,hakuna mtu mchonganish anayejiona kama mchonganishi..hvo ata ww huwezi jiona ulivo jeuri na kiburi..ila watu wa pemben ndio wanaweza ona madhaifu Yako na kukuambia ww ni mlevi,ww ni mwizi,ww ni mkorofi nk

Asa ww ndugu Kwa mujibu wa maelezo Yako sio mm tu wengi humu wamekukosoa una kiburi na ni jeuri asa unaposema tunatoa povu wap.. unaambiwa uhalisia wako ili ujirekebishe utengeneze na baba Yako asa unaendekeza ligi na Mzee wako then what after??? Mzee siku itafika atarudi mavumbin ubaki na kovu la kujihukumu maishan mwako kwann hamkutengezeza na baba Yako..

Unasema ooh ndugu zangu wamekua ni kanisa ..shit!!!!!!! hvi unawajua watu wa makanisa ww..hakuna watu waliotukuka Kwa unafiki kama wa makanisan tena hayo ya kilokole ndio kabisaaaaaa!!! Tengeneza na ndugu zako ww acha kujilisha upepo hapa.
 
hakuna mtu mvivu anayejiona kuwa ni mvivu,hakuna mtu mwizi anayejiona kama mwizi,hakuna mtu Malaya anayejuiona yy ni Malaya,hakuna mtu mlevi anayejiona kama mlevi,hakuna mtu mchonganish anayejiona kama mchonganishi..hvo ata ww huwezi jiona ulivo jeuri na kiburi..ila watu wa pemben ndio wanaweza ona madhaifu Yako na kukuambia ww ni mlevi,ww ni mwizi,ww ni mkorofi nk

Asa ww ndugu Kwa mujibu wa maelezo Yako sio mm tu wengi humu wamekukosoa una kiburi na ni jeuri asa unaposema tunatoa povu wap.. unaambiwa uhalisia wako ili ujirekebishe utengeneze na baba Yako asa unaendekeza ligi na Mzee wako then what after??? Mzee siku itafika atarudi mavumbin ubaki na kovu la kujihukumu maishan mwako kwann hamkutengezeza na baba Yako..

Unasema ooh ndugu zangu wamekua ni kanisa ..shit!!!!!!! hvi unawajua watu wa makanisa ww..hakuna watu waliotukuka Kwa unafiki kama wa makanisan tena hayo ya kilokole ndio kabisaaaaaa!!! Tengeneza na ndugu zako ww acha kujilisha upepo hapa.
Upuuzi
 
Baba hata azeeke vipi hawezi kuwa mpumbavu, hata awe na mambo gani ya hovyo hawezi kuwa mpumbavu, tujifunze kutowawekea vinyongo na kupuuza baadhi ya mambo ya mambo yao.

Kikubwa ni kujishusha zaidi na kutoonyesha hasira zako, chuki zako mbele yake kwa kuwa tunahitaji baraka zao zaidi.
Kwahy atumie kivuli cha kuwa baba ili kuwanyanyasa watoto wake ??

Wapo wajinga wanaozeeka na haipaswi kufumbua macho ujinga wao hatakama ni wazazi wanastahili kuelekezwa
 
Mkuu we fanya maisha yako kama baba anazngua achana nae,
Hata wajinga nao wanazeeka
 
Pole sana ikiwa usemayo ni kweli , ila nikuombe kurudi kwa baba yako na umueleze uko tayari kufanya yale aliyokueleza kubali yaishe , huyo ni baba yako .

Najua hukwenda kanda ya ziwa kisa wewe ni mtu wa kanisani so huwezi kwenda kaburini kuomba msamaha kwa bibi yako hivyo husijali kaongee na ndugu zake wa huko yaishe , habari za wewe kwenda kaburini au kutokwenda kaburini hatazijulia wapi na wakati yupo Dar .

Kubali yaishe maana unaonekana una mgogoro wa nafsi juu ya haya mahusiano na baba yako.
Mimi sijaelewa kwanini akaombe msamaha kwa huyo baba mdogo na shangazi, kawakosea nini?

Kama itamaliza Mgogoro sawa aende, lakini inaonyesha Mzee ni mkorofi ataibuka na lingine.
 
Mimi sijaelewa kwanini akaombe msamaha kwa huyo baba mdogo na shangazi, kawakosea nini?

Kama itamaliza Mgogoro sawa aende, lakini inaonyesha Mzee ni mkorofi ataibuka na lingine.
Ukweli ni kuwa hilo lizee ni likolofi sana ila sasa kjana ana mtanziko wa nafsi ni akheri kufuata nini baba yake anahitaji ili atengeneze amani na baba yake .

Japo namshauri mzee wake akiinua tena mashetani yake amkaushie mazima itakuwa haina namna.
 
Ukweli ni kuwa hilo lizee ni likolofi sana ila sasa kjana ana mtanziko wa nafsi ni akheri kufuata nini baba yake anahitaji ili atengeneze amani na baba yake .

Japo namshauri mzee wake akiinua tena mashetani yake amkaushie mazima itakuwa haina namna.
Ni sahihi. Afanye mzee anavyotaka ila akiibuka na lingine akae nae mbali.
 
vyovyote vile katengeneze na baba Ako..acha upumbavu wako kijana...unataka usapotiwe utaira wako apa... stupid!!!

Kaa Kwa kutulia tafuta wenye akili wakupe elimu iondoe upumbavu ulionao humo kichwani...wewe na mama yako wote mnaonekana hamnazo Ndio maana baba Ako akawapuuza...unasema una familia Kwa akili hzo hata uyo mke atakukimbia siku si nyingi uje hapa kuanzisha Uzi mwingine.... mpumbavu kabisa ww
 
Muulize mama yako vizuri kwann dingi anakuchukia,
Isikute alimkuta mama ana mimba tayari ndoa zina Siri nyingi sana mpaka watu wanapoamua kutengana!
Hakuna haja kuyajua hayo, hayamhusu. Baba mwenye busara angemweka wazi au kunyamaza na kuendelea na maisha na mtoto.

Binafsi ninamshauri aishi vizuri na watu, Mungu atakuwa uoande wake na maisha yatasonga.

Wakati fulani mzazi au ndugu akikukataa, huenda Mungu ana makusudi nawe, usilazimisha udugu, utakuja kujuta.

Ukitengwa na wanadamu si kitu. Jinyenyekeze mbele ya Mungu, maisha yataenda.
 
Acha ujuaji, umeomba ushauri yakupasa uchukue yote ambayo unaona sio kausha.

me nashauri tafuta ukaribu na mzee, hapo nnachokiona wote wawili mna ego mafahari wawili ila jishushe tafuta ukaribu nae kwa gharama yoyote na technic zotee kama kupita home mara kwa mara na kupiga simu za salamu hata kama anajibu mbovu we piga tu LAZIMA mtaelewena tu! Bro ni dhahiri hiki kitu kinakukereketa ndo mana hadi ukaomba ushauri humu siku akitangulia mbele ya haki hutojisamehe.
 
mama hataki kbs kumskia mzee yuko uko kwao alishaolewa ana maisha yake kwan inasemekana chanzo cha yeye kuachana na mzee ndugu wa mzee wifi zake walimuunganishia mzee kwa dada wa kazi awe mkewe na amuache mama, wkt huo mama alikuwa kaenda kujfungua mdogo wangu wa mwsho aliporud akakuta dada wa kaz katawala mji akaamua kujiondokea tu hakuwahi kurudi tena. Na uyo dada wa kaz ndo ma mdogo nliyemzungumza hapo.
huyu mzeee ni nyanga'au kumbe kinyongo kakuwekea sababu ya mama yako.
 
Yani Ukapige Magoti Kwenye Kikaburi Cha Bibi Yako Ndio Akusamehe Huyo Baba Atakuwa Mchawi "HOLD ON MWANANGU YESU NI MWEMA SHIKILIA HAPO HAPO"
 
Wakuu mmebarikiwa sana sana.

Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne.

Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya kwanza kukosana na mzee kwan alikuwa hataki niendelee kusoma aktaka niwe polisi nliamua kuondoka nyumbani nikiwa na vitabu vyangu na cheti na nguo nilizovaa tu.

Kufupisha story nlienda kuish kwa rafiki zake na ndugu yng mtoto wa aunt yng at last aunt alinitafutia shule kdato cha 5 mpk cha 6 nikamaliza nikafaulu vema ksha aunt akanishauri nirud home kwa mzee, kweli nilirud na mzee alinpokea kwa amani sn maisha yakaendelea nikafanya process za chuo nikapata na mkopo pia nikapata.

Nilipohitimu chuo kikuu skuwa na mawazo ya kurud kuish home hata kama nikirud bs nikae muda mfupi sn nipange chumba chng uzuri nilikuwa nimeshanunua kila ktu yan ktanda nk. Na pale home nilikuwa naish nyumba ya nje ndo kulikuwa geto kwng.

Niliporejea home toka chuo nikaanza mishe mishe zng wkt mwngn nlikuwa narud night si mnajua changamoto za usafiri dar na home ni karibia na chanika uko sa ikishafka jion uko town ujue mpk utoboe maeneo ya chanika hapo ni tano au sita usku. Itategemea sasa hiyo jion unatokea wp na umeanza safari saa ngapi. Kwaiyo mara nyng nlikuwa narud night, skuwa na wasiwasi ukzngatia room yng iko nje sisumbui mtu kunifungulia wala kudai chakula.

Siku moja asubuhi npo kwny daladala naona sms ya mzee akitaka ninapotoka nikfunga room yng nikabiz funguo kwa ma mdogo mmmh kweli ilinchukua muda kumjbu nikawa nawaza kuna shda gn tena na lengo ni nn je iktokea nimerud usku je niwagongee wanpe key? Nikapata majbu kwmb inatakiwa sasa nihame kbs home nikapange room then nikabz room kbs, so nikamjbu mzee naomba unpe wk 2 nikamilishe mambo ya kulipia room nikukabiz chumba ili kuepusha misuguano.

Mzee akanijbu kama nahama bs ktanda nikiache kwan wakija wageni watakuwa wanalala wp. Nikajiulza naachaje ktanda chng na sina hela ya kununua kngne?

Kweli nliamua kuacha ktanda ila godoro na vngnevyo nlibeba. Hapo ndpo mgogoro mkubwa ulianza mzee akawa ananilaumu kwann nlihama nyumban na tuhuma nyngn nyng sn. Hazkunisumbua kbs, tulipata msiba wa bibi sku ya kuzka watu walisema bibi hazkwi mpk tofauti zng na mzee ziishe niliamriwa kuomba msamaha, nlitii tena kwa magoti mzee akasema mbona sina tatzo na uyu mtoto kbs.

Basi mi nikajua yameisha sasa, msiba ulipokwsha nlikwenda mtembelea mzee nyumban yan hapo ilikuwa imepta miaka kama mitano sjakanyaga home kbs, nlimkuta mzee na mama mdogo sasa nikawa nimekaa kando na mzee story za hapa na pale nikamwambia mzee nashukuru sn kwa msamaha wake sa tuanze maisha mapya, aisee mzee alinigeuka hatari akasema alishani delete kbs haitaji mi nimuite baba kwan mtu yeyote anaweza kuwa baba, nliomba msamaha tena na tena bt aligoma at last akanpa masharti eti niende kijijin uko kanda ya ziwa nikaombe msamaha kwa kaka ake na dada ake ksha niende kwny kabuli la bibi napo niombe msamaha ksha ndo nirud kwake.

Mmmh hakika nafsi iligoma na wala skumjbu chochote ila nilimuaga ksha nikaenda ndan kumuaga ma mdogo na kumwambia mzee bdo kabaki na msimamo wake kumbe hajasamehe kwaiyo mi ndo naondoka stakanyaga tena mji huu bs ma mdogo naye akajsemesha semesha hapo nikaondoka zng, leo ni miaka mi5 sjakanyaga home kbs.

Npo na maisha yng na family yng knachonisktisha mzee akawa anapga kampen ya kunigombanisha na wadogo zng na ndugu zng wengne wasje kwangu wala wasinisaidie chochote, nlifiwa na mtoto wng nlitoa taarifa kwa wote mpk na mzee ila hawakuja bt namshukuru MUNGU SN WALIKUJA BAADHI YA MADOGO BT KIFUPI MSIBA ULIBEBWA NA KANISA MI NILINUNUA JENEZA TU.

NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA NA MAISHA YNG NAISHI KAMA SINA NDUGU ILA NDUGU ZNG HUWA NI WATU WA KANISANI TU KULIKO WA UKOO AU WA DAMU KWNY SHIDA NA RAHA.

Sa wakuu naomba mniambie nimekosea wapi na nifanye nini, bnafs nina amani kbs sina tatzo.
KARIBUNI.

Tafuta marafiki wa karibu wa baba yako, ongea nao wakawatafutie suluhu (wakawapatanishe), hakuna ujanja wowote kugombana na mzazi!!

Watoto wako utawapa furaha zaidi kwenda kucheza kwa babu yao!!
 
mama hataki kbs kumskia mzee yuko uko kwao alishaolewa ana maisha yake kwan inasemekana chanzo cha yeye kuachana na mzee ndugu wa mzee wifi zake walimuunganishia mzee kwa dada wa kazi awe mkewe na amuache mama, wkt huo mama alikuwa kaenda kujfungua mdogo wangu wa mwsho aliporud akakuta dada wa kaz katawala mji akaamua kujiondokea tu hakuwahi kurudi tena. Na uyo dada wa kaz ndo ma mdogo nliyemzungumza hapo.
mze wako huwa anachonganishwa na mama yako mdogo, hapo cha kufanya nenda alikosema uende kuomba msamaha zen urudi kwako na usiwasiliane nae na jitahidi kutaFTA HELA ATAKUTAFTAGA AKIZEEKA
 
Back
Top Bottom