Kwani anamuumiza mtu kwa kipi wakati anaemfata anajua hali halisi kuwa kashapigwa chini. Wakielewana wanaliendeleza gurudumu tuHana haja yakuwaumiza watu wasio na hatia ili kupona maradh yake ya moyo nikukubali ukwel kuwa ameachwa na afute Namba za huyo mwanamke kila sehem.
Asikate tamaa wapo bado wanawake wema wanaish na asiwachukie wanawake wote
Ameshajua udhaifu wako ndio maana anafanya kile anachokitaka ila usirud nyuma mpotezee nawala akihitaj mazungumz nawew wala usigeuke kumskiliza kwan unaweza ukashawishika ukaja kuwa teja wa mapenzSiku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Nikwel ambae bado hajakutwa na mkasa wa mapenz ataona uongo tena unakuta mtu unashindwa hata kufanya kaz kila ukijarb kuidanganya akili ila moyo bado unakusalit dah nikipind kigumu sana.Nothing defeats time. Ni ngumu kuacha lakini baada ya miezi kadhaa utakua poa. Tena utashangaa makosa ambayo ungeingia. Just cut contact. Focus on you. You'll heal. I have beem there. Hadi sasa najiona fala kwa kumbembeleza mwanamke. Plenty of fish in the sea. Mapenzi yanalewesha hadi unaona hakuna mwingine. Lakini utampata mwingine. Yeye ndo atapata taabu. Stay calm. Contact me for more help.
Uko wapi?What do you mean?
Nimeshangaa. Mpaka sahiz kashindwa kuchukua hatua kweli?Wanaume tunazidi kuisha umeambiwa sasa hapa unataka nn
Lofa na Mpumbavu wewe![emoji848][emoji848]Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Mjinga tu huyo kijana. Halafu anatarajia aje kuendesha familia!!"Yuko tayari kwa lolote", hili jibu Lina maana kubwa kwenye mahusiano ndugu..
Perfect.At the age ametaja hamna huo upuuzi.. vijanawenzake wote wa umri huo ni watu wanaoweza move anytime t .. huyu atakua 24-25.
Ndio mawazo huwa akioa mambo yatatulia.
Lakini nimshauri. Naamini anapitia magumu sana.
Mwanamke kupewa mimba ni jambo la kawaida na kutoa pia ni jambo la kawaida.
Maamuzi ni yake.
Anaweza muacha huyo na bado akaenda kumpata aliyetoa mimba zaidi au cheater zaidi.
Kama anaona wanaendana,kama huyo binti hana jeuri kama mimi ninayohisi muda huu.. waendelee.. na waambizane ukweli.
Mabinti wanarubuniwa sana kipindi cha field.. na kipindi wanamaliza vyuo.
Sasa amemaliza anarudi mtaani. Waelekezane.. maisha yaendelee au amuache akachukue ka mwanafunzi kachuo kamfubaishe tena.
Hesabu hasara basi.Mwanamke mwingine yupo ninae
Muda huu Niko nae
Tatizo niliwekeza moyo huko kwingine.
Nilikuwa natamani sana kusikia comments toka upande huu. Akishupaza shingo mwache imwangukie; atajiju.Nikikwambia ukweli utasema dada yako nakudanganya.
Sisi tuliojilipia ada shule kwa kukosa mikopo ndo tulitoka salama chuo hao watoto wa loan board uwasamehe boom likiisha wana njaa sana.
Nakumbuka kila mtu alikuwa akijiuliza mpz wangu ni nani mpaka nilimaliza bila kuwa na mahusiano chuo hiyo yote nilikuwa busy na biashara hata kuliko masomo so vijipesa vya kula sikuvikosa.
Sasa wewe mdogo wangu kwa umri huo kweli unaweza muhudumia msichana wa chuo na walivyo na tamaa?
Huyo kapata bwana wa mitaani na vigari vyako kama baby Walker ndo anamuweka mjini.
Wewe mdogo wangu upo unapambana ujenge kama sio kununua kiwanja. Mwenzio anahitaji wa kumpeleka shopping
Dear mdogo wangu achana na wasichana wa chuo.date msichana ambae ashatoka chuo, hao wengi wanataka ndoa na sio starehe.
Ukimsamehe huyo dada mkarudiana utakuja kulia sana.unajisikiaje eti mtoto mdogo hivyo ashatoa mimba?
Tafuta kwanza pesa wanawake wako wengi
Na usinambie kuwa pesa unayo, kwa umri wako bado unatafuta una vishiling vya kula na kuendesha maisha yako ila sio vya kumpa mwanamke.
Hata kama unatokea familiya tajiri hivyo vi pesa unatoa kwenu.
Ukifikisha miaka 30 anza kutafuta mke wa ndoa kwa sasa play safe. Tafuta pesa usisahau kutumia condom utabambikiziwa mtoto.
Move on hakuna mke/mwanamke hapo, usaliti ni mbaya sana we usikie kwa jirani tu.. Huyo kumbe hata angepata ngwengwe na kukuletea ww na ukamuuliza kama amekuambukiza hata asingelishtuka na angekukubalia yes ni yeye ndo kakuambukiza..Habari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Piga chini huo uchafu.Habari