Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Move on hakuna mke/mwanamke hapo, usaliti ni mbaya sana we usikie kwa jirani tu.. Huyo kumbe hata angepata ngwengwe na kukuletea ww na ukamuuliza kama amekuambukiza hata asingelishtuka na angekukubalia yes ni yeye ndo kakuambukiza..
Sanaa mkuu
 
Kwa dar pisi kali tele usilie,mikoani SAwa.
Kuna mikoa pisi za kuhesabu kwa torch
 

Mkuu kubaliana na ukweli kwamba, hupendwi wala hutakwi na huyo dada..ukweli mchungu lakini
 
Nimekuzidi kdg kwenye umri(nakaribia 30) ila ww una uwezo mdogo sana wa kung'amua wakati wa kukomaa na kuondoka ktk mahusiano. Ningekua ni mm hata nisingeleta uzi humu ningempiga kibuti toka siku alonihakikishia kua taarifa za ujauzito ni za kweli.

Nilishajiapia ktk zama hizi nitapomfuma mpenzi wangu kanicheat sina msamaha. Oohh umesema kakwambia huwezi kumuacha hata ufanyaje? Wacha nicheke [emoji23][emoji23]mkuu umepigwa na kitu kizito kichwani.
 
[emoji3][emoji3] nahisi
 
Mkuu hapo hakuna mpenzi,,, labda kama utafikiria kwa kichwa cha chini,, ila ukifikiria kwa kichwa cha juu hapo hakuna jambo..

Kama unabisha mpe mkono uone
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Basi mpe Hongera kwa alichokifanya ili asikuache maana wewe si Unaogopa kumuacha?!!!.
 
Hapo braz anza kukusanya kilicho chako huyu tayar bado anaendelea kukomaa mapenz na watu wengn .


Wew jitulize uku ukitafut Tawi la kudandia ......, Mwanamke akitoa kaul hzo Tena ambae hujamuoa Ujue amejiamin sana na anaweza kukwambia chochote na huna la kufanya


NB:- achen kutoa moyo hawa wanachuo wakiwa chuon wew pga tuuu


Tafuta kitaan alimalz chuo

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulika
 
Kiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulika
Nimekupa like. Huwa sitoi like ila kwako nimetoa.
 
Kiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulika
Nilizaa na mdogo mtu
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.

Achana nae mtihani!? Wewe ushafanya mitihani mingapi?
There plenty of beautiful women out there.
Mwaka mmoja ni muda mfupi sana.
Kwanza hajutii alichofanya ndio maana anakujibu short short, muache wala usipoteze muda.

Muda huponya, kubali utaumia ndani ya muda fulani tuu after hapo utakuwa sawa au kubali kuumia forever na huyo mwanamke.

Tembo hachoshwi na pembe zake.
 
Mkuu piga chini haraka hiyo malaya, mm kaka yako kwa mbali sana chukua ushauri wangu. Mm nlioa mwanamke ambaye nligundua alikuwa anatoka na ndugu yamgu ambaye ni rafiki yangu sana. Nlioa sababu nlimpa ujauzito so alikuwa na mtoto wangu. Sasa nipo kwenye majuto makubwa na ndoa naiona mbaya. Ila kumwacha siwezi na simchukii ila tu nikikumbuka hii kitu huwa inanitoa kabisa
 
Nimelia kwa ushauri huu. Naona ni kama ule anaonipaga Dada yangu kule kijijini... Ubarikiwe mno Dada, wewe ndiye Dada LA Dada [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hakuwahi kupata mimba wamepanga na rafiki yake ili usimgande kama kipele. Umechokwa. Mwambie huna maana halafu kata mawasiliano.
Wewe JABALI LA KARNE unafurahishaga mno humu JF! Unaongea kama ulikuwepo vile, daaah! Inaweza kuwa kweli, jamaa una reasoning ya ajabu mno.! Unafaa kuwa jasusi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Jiweke kwenye nafasi yangu
Ujibu serious mkuu
Ongea nae kwa upendo, muulize kama anakupenda na yuko tayari kuishi nawe, kama anakiri msamehe

Hakuna mkamilifu, huwezi jua alifikiaje kwenye uhusiano huo.
 
Sasa unasubiri nini man hapo?

Yani ndo umekamatika kiasi hicho chalii dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…