kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
- Thread starter
- #141
[emoji3][emoji3] we jamaaWe jua mimba haiingii bila kutombewa
Chagua moja Kama kutombewa kunauma au hakuumi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3] we jamaaWe jua mimba haiingii bila kutombewa
Chagua moja Kama kutombewa kunauma au hakuumi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sanaa mkuuMove on hakuna mke/mwanamke hapo, usaliti ni mbaya sana we usikie kwa jirani tu.. Huyo kumbe hata angepata ngwengwe na kukuletea ww na ukamuuliza kama amekuambukiza hata asingelishtuka na angekukubalia yes ni yeye ndo kakuambukiza..
Habari
Ni kijana 25-27 years
Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.
Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.
Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.
Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.
Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.
Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.
Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.
Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?
Asanteni.
Nimekuzidi kdg kwenye umri(nakaribia 30) ila ww una uwezo mdogo sana wa kung'amua wakati wa kukomaa na kuondoka ktk mahusiano. Ningekua ni mm hata nisingeleta uzi humu ningempiga kibuti toka siku alonihakikishia kua taarifa za ujauzito ni za kweli.Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
[emoji3][emoji3] nahisiNimekuzidi kdg kwenye umri(nakaribia 30) ila ww una uwezo mdogo sana wa kung'amua wakati wa kukomaa na kuondoka ktk mahusiano. Ningekua ni mm hata nisingeleta uzi humu ningempiga kibuti toka siku alonihakikishia kua taarifa za ujauzito ni za kweli.
Nilishajiapia ktk zama hizi nitapomfuma mpenzi wangu kanicheat sina msamaha. Oohh umesema kakwambia huwezi kumuacha hata ufanyaje? Wacha nicheke [emoji23][emoji23]mkuu umepigwa na kitu kizito kichwani.
Si ndo hapoWanaume tunazidi kuisha umeambiwa sasa hapa unataka nn
Basi mpe Hongera kwa alichokifanya ili asikuache maana wewe si Unaogopa kumuacha?!!!.Aiseee
I need psychological counseling
Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka
Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Kiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulikaAngalia luckyline ameingia lini JF! Huyo ni mkongwe na anajua maisha. Enzi zangu, nilikuwa na GF nikamfuma tu yupo chobiso na njemba. Nikamuuliza akajibu mbofu mbofu, nikamweleza kuwa hapa ndiyo mwisho ila nitakuchapa kiboko na alama yake itakuwa nawe hadi unaingia kaburini, akacheka nikaondoka.
Nimekupa like. Huwa sitoi like ila kwako nimetoa.Kiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulika
Nilizaa na mdogo mtuKiboko gani ulitaka kumpigia asikusahau maishani? Kiboko kinachoacha alama ni kuchojolea ndani ukatelekeza mtoto akaangaika nae hapa hawezi kukusahau.vingine viboko fasta ushasahaulika
Aiseee
I need psychological counseling
Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka
Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Nimelia kwa ushauri huu. Naona ni kama ule anaonipaga Dada yangu kule kijijini... Ubarikiwe mno Dada, wewe ndiye Dada LA Dada [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Nikikwambia ukweli utasema dada yako nakudanganya.
Sisi tuliojilipia ada shule kwa kukosa mikopo ndo tulitoka salama chuo hao watoto wa loan board uwasamehe boom likiisha wana njaa sana.
Nakumbuka kila mtu alikuwa akijiuliza mpz wangu ni nani mpaka nilimaliza bila kuwa na mahusiano chuo hiyo yote nilikuwa busy na biashara hata kuliko masomo so vijipesa vya kula sikuvikosa.
Sasa wewe mdogo wangu kwa umri huo kweli unaweza muhudumia msichana wa chuo na walivyo na tamaa?
Huyo kapata bwana wa mitaani na vigari vyako kama baby Walker ndo anamuweka mjini.
Wewe mdogo wangu upo unapambana ujenge kama sio kununua kiwanja. Mwenzio anahitaji wa kumpeleka shopping
Dear mdogo wangu achana na wasichana wa chuo.date msichana ambae ashatoka chuo, hao wengi wanataka ndoa na sio starehe.
Ukimsamehe huyo dada mkarudiana utakuja kulia sana.unajisikiaje eti mtoto mdogo hivyo ashatoa mimba?
Tafuta kwanza pesa wanawake wako wengi
Na usinambie kuwa pesa unayo, kwa umri wako bado unatafuta una vishiling vya kula na kuendesha maisha yako ila sio vya kumpa mwanamke.
Hata kama unatokea familiya tajiri hivyo vi pesa unatoa kwenu.
Ukifikisha miaka 30 anza kutafuta mke wa ndoa kwa sasa play safe. Tafuta pesa usisahau kutumia condom utabambikiziwa mtoto.
Wewe JABALI LA KARNE unafurahishaga mno humu JF! Unaongea kama ulikuwepo vile, daaah! Inaweza kuwa kweli, jamaa una reasoning ya ajabu mno.! Unafaa kuwa jasusi.Hakuwahi kupata mimba wamepanga na rafiki yake ili usimgande kama kipele. Umechokwa. Mwambie huna maana halafu kata mawasiliano.
Ongea nae kwa upendo, muulize kama anakupenda na yuko tayari kuishi nawe, kama anakiri msameheJiweke kwenye nafasi yangu
Ujibu serious mkuu
Sasa unasubiri nini man hapo?Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.