Rais ndiye anayeteua Wakuu wa Polisi, Jeshi, na Usalama wa Taifa, na bado yeye ndiye Mwenyekiti wa Chama Tawala. Hapa ndipo penye shida kwa sababu huwezi kumteua mtu kisha ukategemea asilinde maslahi yako ya kisiasa.
The conflict of interest is just too high, inabidi mfumo wa uteuzi ubadilike.