Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

Unajua inafika hatua unaona matatizo mengine bora kutumia demokrasia kuyatatua mfano mwanaume atuliwe na mbu kwenye korodani hapo huwa hatupigi banzi!! Tena unaweza muambia mbu "toka Basi!!"..🤣🤣

Hicho ndo walichoamua hawa washikaji.
 
Yeye si wa kwanza kuongea hivyo wapo waliotangulia kusema maneno hayo na mwisho wanaujua vizuri wenyewe walijiondokea kimya kimya.
 
Wazungu bhana sasa wameingia hasara bure na bado wanaendelea kuingia hasara tu. Nadhani wataelewa vizuri sasa mwanaume alipo sema ni me sacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania hawakumwelewa. Nadhani sasa watamwelewa.
 
Finally wamekubaliana na approach ya Tanzania.

Magufuli was right.
Magu was not right at all, they were right as you can not put lives of your citizens at risk by taking for granted all precautionery measures required against Covid as Magu did to Us.

Magufuli kept our lives at risks.
 
Magufuli kwenye Corona alichezaga Kama pele wallah
Ngojea wafia vyama wakuvamie ,ila ndio ukweli wenyewe.UK walipo tangaza vuguvugu la tatu na kuamua watu wakae ndani ndipo maandamano yalianzia hapo.

Kenya na waonea huruma nchi mwaka jana umekumbwa na ukame,nzige na mafuriko ,wakaamua kuiga Kunya kwa tembo,huku vipuru vyao vidogo sasa hivi wanaugulia maumivu nao wanaandamana hawataki Lockdown.

Chanjo zenyewe za Corona nazo hazi eleweki kwa mujibu wa BBC baadhi ya wauguzi Kenya wengi wao,wamekataa kuchoma chanjo.Ujerumani kasitisha kwa muda matumizi ya Astrazaneca kwa walio chini ya miaka 60 sababu ya baadhi yao wanaochoma damu zinaganda.

Juzi CCN wamesema chanjo ya Pfizer inaisha nguvu baada ya miezi sita,leo tu wametangaza huko UK watu 30 kati ya mil 18 waliochoma chanjo ya AstraZaneca damu zimeganda na hapo hatujui effects ya hiyo chanjo siku za mbele ,so ukitizama kwenye chanjo kuna vurugu na sarakasi nyingi sana.

Ugonjwa wenyewe unasiasa za kimagharibi zimeingia, WHO alichelewa kuapprove chanjo ya Russia na Dr Fauci wa US anaiponda chanjo ya Russia haina ufanisi.

Hizi chanjo ni kuzisikilizia kama alivyosema Magu,huku ukifuatilia na baadaye ukipata uhakika ndipo tuamue tutumie ipi.
 
Magu was not right at all, they were right as you can not put lives of your citizens at risk by taking for granted all precautionery measures required against Covid as Magu did to Us.

Magufuli kept our lives at risks,
Yeah right ila uingereza wako sahihi

Akili za kushikiwa huwezi ukafanya jambo mwenyewe.
 
Mama yetu tunaomba chanjo iletwe kwa wanaotaka. Wasiotaka kuchoma wakae kwa kutulia wasilazimishwe .
Hata huko nje wanagomea chanjo, chanjo unachanjwa alafu ikija strain mpya unakua huna tofauti na asiyechanjwa, wote mpo kwenye risk.
 
Back
Top Bottom