Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,106
- 1,443
Wawaachie jirani zetu wa kaskazin hiyo lockdownNaona akili imeanza kuwakaa sawa hao baada ya kuona mwisho wa siku watakuwa na msururu wa chanjo kila inapikuja aina mpya ya kirusi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawaachie jirani zetu wa kaskazin hiyo lockdownNaona akili imeanza kuwakaa sawa hao baada ya kuona mwisho wa siku watakuwa na msururu wa chanjo kila inapikuja aina mpya ya kirusi...
Mnataka kutuharibia herd immunity yetu, hameni nchi mkachomwe huko..Mama yetu tunaomba chanjo iletwe kwa wanaotaka. Wasiotaka kuchoma wakae kwa kutulia wasilazimishwe.
Watamkumbuka Magufuli!Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua
Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo
======
The idea that Covid variants can be stopped from entering the country is “not realistic”, and Covid will eventually have to be managed in a similar manner to serious seasonal viruses such as flu, Prof Chris Whitty has said.
Speaking at a Royal Society of Medicine webinar, England’s chief medical adviser said the relaxation of Covid restrictions was likely to result in the R number rising above 1 and the risk of variants gaining a foothold and spreading increasing.
The more cases that have been imported, the quicker that will happen. As a result, Whitty said, border policies are focused on countries with more cases, or more cases of particular variants, than the UK.
“The UK is a net exporter of [the Kent] B117 variant, so other countries are understandably putting their border measures up against us to slow that down. We are a net importer of other variants that are a bit more of a worry from the vaccine point of view. That’s really what drives a lot of the policy, when it is being rational, excepting that border policy isn’t always fully rational,” he said.
Whitty said the majority of experts believed Covid was not going to go away and it would eventually have to be managed in a similar manner to flu. In a bad year, flu can kill 20,000 to 25,000 people. “It is not flu, it is a completely different disease, but the point I am making is, here is a seasonal, very dangerous disease that kills thousands of people every year and society has chosen a particular way around it,” he said.
While Whitty noted that factors such as variants and population density were important, he cautioned against trying to explain how Covid had affected different countries by focusing on just one or two factors, noting that Germany was now facing a difficult situation despite its previous success in tackling Covid largely being put down to its diagnostic capabilities.
“It is actually usually a large combination of factors, some of which are under our control, many of which are not. And more of it is chance than I think people are prepared to accept,” he said.
'A class act': Chris Whitty, the calm authority amid the Covid crisis
Whitty said new vaccine technologies meant it had become easier and quicker to tweak vaccines, which will be important for tackling new Covid variants, and he said that two years from now it was likely there would be a wide portfolio of vaccines available.
He said at present the main effort of companies was to boost vaccine supplies and there was less capacity to respond to new variants, while it was unclear whether current vaccines offer a “fair degree” of protection against severe disease and death even if they do not generate high levels of neutralising antibodies.
“What we have got to do is work out some balance which actually keeps [Covid] at a low level, minimises deaths as best we can but in a way that the population tolerates and do as much of the heavy lifting as we can by medical countermeasures,” he said.
Tujaribu mara ngapi? Umeshawahi kusikia lockdown Tanzania?!Wenzenu wameisha jidunga chanjo za kutosha, nyie mlio katazwa kupata chanjo jaribuni muone cha motto!
Based on data or not, they are just now doing what we have been doing all along, more over, hakuna ushahidi wa Tz kuathirika zaidi yao pamoja na kutofanya hayo waliyofanya, tujiheshimu kwa mafanikio yetu, kabla ya kutegemea wengine watuheshimu.Naomba niwaambie kuwa UK's decision to remove restrictions related to COVID is based on DATA. Uamuzi wao kulinganisha na approach yetu (au kusema UK wameiga approach yetu) ni mbingu na ardhi.
Reasons:
1.What they achieved so far in terms of vaccinating their "risk population". Kindly note that, UK has already vaccinated 16% of its population (kindly note that UK's population of above 65+ is about 16% of the total population).
2.Kwenye transmission dynamics za infectious diseases, kuna kitu kinaitwa R number ambayo ni number ya watu ambao mtu mmoja mwenye huo ugonjwa anaweza kuambukiza kwa wastani. Kwa sasa, namba hii kwa UK ni 1, na inatarajiwa kushuka zaidi kutokana na strategy ya vaccination inayoendelea ideally ili ku cut down the transmission R number inatakiwa iwe below 1- Hivyo basi their move ya kulegeza restrictions is a well calculated and informed move.
And the economy? And in the end, its the right approach, isn’t it?Magu was not right at all, they were right as you can not put lives of your citizens at risk by taking for granted all precautionery measures required against Covid as Magu did to Us.
Magufuli kept our lives at risks,
Kila nchi imechukua na inachukua hatua inayoona zinafaa kwa kadri ya mazingira yake na utashi pia wa viongozi wake..!Based on data or not, they are just now doing what we have been doing all along, more over, hakuna ushahidi wa Tz kuathirika zaidi yao pamoja na kutofanya hayo waliyofanya, tujiheshimu kwa mafanikio yetu, kabla ya kutegemea wengine watuheshimu.
Kwahiyo unatakaje sasa, tuwaonee huruma? Wao walivyotabiri tutakufa kama kuku wenye mdondo na kuokota mizoga barabarani walikuwa wanamaanisha nini?Kila nchi imechukua na inachukua hatua inayoona zinafaa kwa kadri ya mazingira yake na utashi pia wa viongozi wake..!
Tuangalie zaidi nchi yetu na tuiombee juu ya hili, kuliko kujilinganisha na nchi zingine au kuzibeza nchi zingine.
Hakuna viongozi wa nchi wanaopenda wananchi wao wafe kama kuku.
Kwa hiyo tusione kama vile Uingereza labda wamekosea sanaaa...!! Na wao wamechukua hatua kwa kadri ya mazingira yao na utashi wao. Na pia issue ya Corona ni dynamic sana.... Hali inaweza kuonekana shwari, ila ndani ya wiki 2-3 ikabadilika kabisa ikawa tete.
Hata maamuzi ya nchi pia sio constant, yanabadilika pia kulingana na uhitaji na mazingira ya nchi husika.. Mfano mzuri Madgascar ambao msimamo wa viongozi wao mwanzoni ilikua kutopokea chanjo za COVID, last week nimeona wamebadilisha uamuzi na kuamua kuagiza chanjo za COVID.
Yani mpaka leo huu ugonjwa haueleweki hasa shida Nini Ila kuna upepo mubaya ulipita kuanzia January had mwezi wa pili watu walikufa mfululizo I think hyo ilikuwa peak ya huo ugonjwa.Ngojea wafia vyama wakuvamie ,ila ndio ukweli wenyewe.UK walipo tangaza vuguvugu la tatu na kuamua watu wakae ndani ndipo maandamano yalianzia hapo.
Kenya na waonea huruma nchi mwaka jana umekumbwa na ukame,nzige na mafuriko ,wakaamua kuiga Kunya kwa tembo,huku vipuru vyao vidogo sasa hivi wanaugulia maumivu nao wanaandamana hawataki Lockdown.
Chanjo zenyewe za Corona nazo hazi eleweki kwa mujibu wa BBC baadhi ya wauguzi Kenya wengi wao,wamekataa kuchoma chanjo.Ujerumani kasitisha kwa muda matumizi ya Astrazaneca kwa walio chini ya miaka 60 sababu ya baadhi yao wanaochoma damu zinaganda.Juzi CCN wamesema chanjo ya Pfizer inaisha nguvu baada ya miezi sita,leo tu wametangaza huko UK watu 30 kati ya mil 18 waliochoma chanjo ya Astrazaneca damu zimeganda na hapo hatujui effects ya hiyo chanjo siku za mbele ,so ukitizama kwenye chanjo kuna vurugu na sarakasi nyingi sana.
Ugonjwa wenyewe unasiasa za kimagharibi zimeingia,WHO alichelewa kuapprove chanjo ya Russia na Dr Fauci wa US anaiponda chanjo ya Russia haina ufanisi.
Hizi chanjo ni kuzisikilizia kama alivyosema Magu,huku ukifuatilia na baadaye ukipata uhakika ndipo tuamue tutumie ipi.
And the economy? And in the end, its the right approach, isn’t it?
Naomba discussion yetu iishie hapa mkuu na nikutakie usiku mwema popote ulipo.Kwahiyo unatakaje sasa, tuwaonee huruma? Wao walivyotabiri tutakufa kama kuku wenye mdondo na kuokota mizoga barabarani walikuwa wanamaanisha nini?
Hoja hapa ni simple, kwamba Rais wetu aliona mbali, tujikubali kwa hilo basi, hayo mengine hata sijui unalenga nini, kwamba tuache kufurahia approach yetu kuemerge victorious?!
Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo unamkumbuka nani au shujaa kwa dunia alipaswa awe nani mkuu?Safiii
Kwa bahati mbaya Joni imemwondoa coronaWazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!