mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Utakaa lockdown mpaka lini.
UGONJWA wenyewe hauishi Leo wala Kesho?
UGONJWA wenyewe hauishi Leo wala Kesho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
Hivi watu walikuwa wanamtaka JPM aweke lockdown au serikali ichukue hatua ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa? Hivi nyie watu mbona mnapenda kupotosha na kutetea ujinga?! Ukiwasikia watu wengi wanazungumzia issue za barakoa na kuepusha misongamano! Hivi kuna Mtanzania atakayeshabikia lockdown wakati majority maisha yao yanaendeshwa na shughulizi zisizo rasmi?! Endeleeni kutetea ujinga lakini mzee wenu hata kama mnadanganyana amekufa kwa ugonjwa wa moyo, kuna uwezekano mkubwa corona ikawa imechangia manake kila mwenye utimamu anafahamu huwezi kucheza na corona wakati mtu mwenyewe ni spana mkononi!!!Sasa mbona mlikuwa mnapiga kelele magufuli aweke lockdown wakati kuna nchi zingine HAWAJAWEKA?.
tunamsifu magufuli sababu WALIMUANDAMA SANA.
Hivi watu walikuwa wanamtaka JPM aweke lockdown au serikali ichukue hatua ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa? Hivi nyie watu mbona mnapenda kupotosha na kutetea ujinga?! Ukiwasikia watu wengi wanazungumzia issue za barakoa na kuepusha misongamano! Hivi kuna Mtanzania atakayeshabikia lockdown wakati majority maisha yao yanaendeshwa na shughulizi zisizo rasmi?! Endeleeni kutetea ujinga lakini mzee wenu hata kama mnadanganyana amekufa kwa ugonjwa wa moyo, kuna uwezekano mkubwa corona ikawa imechangia manake kila mwenye utimamu anafahamu huwezi kucheza na corona wakati mtu mwenyewe ni spana mkononi!!!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Magu was not right at all, they were right as you can not put lives of your citizens at risk by taking for granted all precautionery measures required against Covid as Magu did to Us.
Magufuli kept our lives at risks.
Yesu ametufundisha kusamehe.Waalaniwe wote waliomwombea Magufuli wetu kifo, katika jina la Yesu Kristo tunaomba wafe kifo kibaya.
HahahahaahahWaalaniwe wote waliomwombea Magufuli wetu kifo, katika jina la Yesu Kristo tunaomba wafe kifo kibaya.
Naona bado unaomboleza hahahahaWazungu bhana sasa wameingia hasara bure na bado wanaendelea kuingia hasara tu. Nadhani wataelewa vizuri sasa mwanaume alipo sema ni me sacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania hawakumwelewa. Nadhani sasa watamwelewa.
Ni kweli Missile of the Nation, 40% imekwisha pata vaccine ambayo ni Frontline health Care staff, wazee over 50 years na wenye underlying health conditions. Hao waliobakia ambao ni 60% inahusisha vijana na watoto ambao kinga zao dhidi ya magonjwa ziko juu.Wamepata chanjo hao, hata wakitoka lockdown ni sawa tu!
Corona haiwezi tena kuwa tishio kubwa kwao kama kipindi kile hawana chanjo.
Na hawakuwahi kuplan kukaa kwenye lockdown forever
Don't lie broo,am in manila philippines,there was and still lockdown continues.Wakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
ndipo aliporegeza masharti ya kujikinga kama yalivyoainishwa na WHO.
Tupe ww hatua stahiki za kudhibiti ugonjwaHivi watu walikuwa wanamtaka JPM aweke lockdown au serikali ichukue hatua ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa? Hivi nyie watu mbona mnapenda kupotosha na kutetea ujinga?! Ukiwasikia watu wengi wanazungumzia issue za barakoa na kuepusha misongamano! Hivi kuna Mtanzania atakayeshabikia lockdown wakati majority maisha yao yanaendeshwa na shughulizi zisizo rasmi?! Endeleeni kutetea ujinga lakini mzee wenu hata kama mnadanganyana amekufa kwa ugonjwa wa moyo, kuna uwezekano mkubwa corona ikawa imechangia manake kila mwenye utimamu anafahamu huwezi kucheza na corona wakati mtu mwenyewe ni spana mkononi!!!
Kwani mleta nada anekosea nini au kwa vile Magufuli kapewa credit? Hizo nchi ulizotaja zimefanya kama Tanzania na ni nchi chache sana duniani zilichukua muelekeo huo sasa huoni hapo JPM aliact kishujaa tena mwanzoni kabisa?Wakati mwingine tuache kujibambikia sifa za kijinga.Kwa taarifa yako Sweden,Philippines,Singapore,Nicaragua na South Korea hawakuwa na lockdown.Pia yapo baadhi ya majimbo huko USA hayakuwa na lockdown eg South Dacota,North Dacota and Wyoming.
Sehemu zote hizo wazungu hawakuziona isipokuwa Tanzania ya Magufuli.
Mkuu soma mantiki zimaWazungu bhana sasa wameingia hasara bure na bado wanaendelea kuingia hasara tu. Nadhani wataelewa vizuri sasa mwanaume alipo sema ni me sacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania hawakumwelewa. Nadhani sasa watamwelewa.
Mbona tanzia hazipo siku hizi hapa Jf?Korona imemwondoa
Walikufa au hawakufa?Mbona tanzia hazipo siku hizi hapa Jf?
Hata wale mapadre na masista hawafi tena!
Unamsifia marehemu kwa maslahi gani?Wazungu huko jumuiya ya Ulaya wamechoshwa na lockdown wataka waachwe washerehekee Pasaka kwa kujinafasi.
Ufaransa serikali italazimika kutumia mbinu za ziada kuwatuliza wananchi wake ambao pamoja na maambukizi kuongezeka wao wanataka kutoka nje wakidai mateso ni yale yale.
Nako UK wameonelea ni heri waishi na Corona kama wanavyoishi na mafua badala ya kufungiana ndani.
Wazungu wengi hasa wanaotembelea Tanzania na Zanzibar specifically wamemwita hayati Magufuli ni mwanasayansi aliyepevuka, mwanasiasa mahiri na kiongozi Shupavu.
Maendeleo hayana vyama!