Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

Waingereza wengi wanalala chini ya madaraja au kwenye magari pale London lakini wanatunza watu kama vile wamekuwa hazina za kale. Jamaa wanajipigia hela na siku hizi wanazaliana si mchezo.
 
Kuna mambo na vitu vizito sana ya ile familia vinaendelea kuwa falme kwa nchi kama ile sio poa wale wana nguvu za ajabu sana...
 
Hiyo elimu ya civics uliletewa na huyohuyo malkia uchwara. Ukaacha kujifunza elimu ya afrika ukawafuata wao.

Monarch zinajulikana tangu vizazi na vizazi kwamba lazima ziwe na mamlaka katika maeneo yao.
km hujamuelewa hadi huyo jamaa bas una tatizo sio bure
 
Waingereza wengi wanalala chini ya madaraja au kwenye magari pale London lakini wanatunza watu kama vile wamekuwa hazina za kale. Jamaa wanajipigia hela na siku hizi wanazaliana si mchezo.
kuna nchi hazina hilo kundi la hao watu ? je nazo zina ufalme ?
 
Hiyo elimu ya civics uliletewa na huyohuyo malkia uchwara. Ukaacha kujifunza elimu ya afrika ukawafuata wao.

Monarch zinajulikana tangu vizazi na vizazi kwamba lazima ziwe na mamlaka katika maeneo yao.
Sasa hii ni topic nyingine ya kujadili ila ile hoja ya kufundishwa au kutofundishwa jibu ni TULIFUNDISHWA.
 
haikuwa sehem ya roman empire bali walitawaliwa kimabav na warumi , hlf akil yako inaonesha ww ni mvaa kobaz , hujui kuwa wenzetu huji update kuendana na muda
Hauelewi chochote wewe. Roman empire ndio ilivunjika na kutengeneza UK, Franco (France), Spanish kingdom, Portuguese kingdom, Germany etc. Ule ulikuwa ufalme mmoja.

Wavaa kobazi hao ni jamaa zangu nawatania sana humu ndani. Utakuwa mgeni kama hujui hilo.
 
wenzio wapo huru , na wananchi wapo huru kuamua , uongoz ni mfumo wa watu kujitawaka so popote unaeza rekebishwa ili ukizi matakwa ya raia , tofauti na dona country
Ndio maana tunakuambia ule sio ufalme. Unabishia kitu usichokielewa. Huo unaousema ni mfumo wa kidemokrasia na sio ufalme.
 
Ni vigumu kupata maarifa kwa kuokota mistari kadhaa kwenye maandiko kwa ajili kubishana bali kwa unatakiwa usome articles kwa ajili kujielimisha na kujiongezea uelewa wa mambo mbali mbali.......
 
Tatizo ni ww ulikuwa hufahamu. Na si kiini macho.
Hili liko wazi tokea miaka ya nyuma. Na mfumo wao umekuwa wazi. Labda ww ndio ulikuwa hufahamu
Sasa hivi imekuwa muda muafaka kuliongelea kwasababu ndio habari kubwa duniani.
 
Kwani waingereza wakifanya viini macho vyao wewe unapata hasara Gani?
 
Kuna mambo na vitu vizito sana ya ile familia vinaendelea kuwa falme kwa nchi kama ile sio poa wale wana nguvu za ajabu sana...
Sijui wamewafanyaje waingereza mpaka wamekuwa kama nyumbu tu kuwatunza na kuwaona bora kuliko wao.
 
Ni vigumu kupata maarifa kwa kuokota mistari kadhaa kwenye maandiko kwa ajili kubishana bali kwa unatakiwa usome articles kwa ajili kujielimisha na kujiongezea uelewa wa mambo mbali mbali.......
Bahati mbaya hautuletei hizo articles Ili tupate hiyo elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…