Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #61
Waingereza wengi wanalala chini ya madaraja au kwenye magari pale London lakini wanatunza watu kama vile wamekuwa hazina za kale. Jamaa wanajipigia hela na siku hizi wanazaliana si mchezo.ttzo la waafrika huwa akili haiangalii mbele , walipata enz wakiwa na mamlaka ila sasa hv hiyo familia ni sehem ya heshima ya utamaduni wao ili isipotee inatunzwa kwa assets ambazo awali walikuwa wanazimiliki km utawala , wenzio hawana njaa km zako , ushindwe kula lunch unawazia estate ya late Queen