Kiswahili ni Lugha muhimu sana kwetu sababu imetuunganisha kama Taifa, lakini disadvantage yake ni kwamba inadumaza akili za watu. Unapofikiri kwa hisia za Kiswahili huwezi kupata matokeo chanya.Urusi hawezi pigana hata na sudani ya kusini. Ni mbwembwe tuuu. Anatumia mikwaraa mingi. Ka ukrain tuu kanakolingana na mkoa wa pwani, kako kanamsigina na hatotoboa, halafu eti anataka kujipima ubavu na uingerezaa?? Au anatafuta lawamaa
Mti utaita kijiti, mchicha utaita bangi.