Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini aliye sema kuwa Uingereza haiwezi kupambana na Urusi ni waziri wa ulinzi wa Uingereza na sio Urusi.Russia alisema ole wake atakayemsaidia Ukraine lkn wengi wamemsaidia tena mchana kweupe lkn hajawafanya chochote.
Russia ni joka la kibisa hana uwezo wa kupambana hata na Poland sembuse Uingereza.
Kwa hiyo ww una akili na unalijua jeshi la Uingereza kuliko waziri wake wa ulinzi?maana yeye ndo kasema nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi lakini ww povu lina kutoka.Urusi hawezi pigana hata na sudani ya kusini. Ni mbwembwe tuuu. Anatumia mikwaraa mingi. Ka ukrain tuu kanakolingana na mkoa wa pwani, kako kanamsigina na hatotoboa, halafu eti anataka kujipima ubavu na uingerezaa?? Au anatafuta lawamaa
Mbinu za kivita weweee. Urusi anadanganywa ili ajae, halafu wamalize game.Kwa hiyo ww una akili na unalijua jeshi la Uingereza kuliko waziri wake wa ulinzi?maana yeye ndo kasema nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi lakini ww povu lina kutoka.
Kipindi USA ikiwa maporiKumbuka uingereza alitwala USA [emoji16]
We jamaa unaongea niniUingereza ilifanikiwa kutawala nchi nyingi duniani sababu nchi nyingi zilikuwa ni dhaifu sana na yeye alikuwa janjajanja tu. Leo hii nchi nyingi duniani zina uwezo mkubwa hasa wa kijeshi. Ninadhani hata Iran inaweza kumpiga Uingereza, ila Uingereza isimame yenyewe bila backup ya Marekani.
umesahau kumalizia hiii (ni mimi mchambuz wa maswala ya kivita toka itv mtoni mtonganiiiiiiiii)Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.
Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la nyongeza kwa ajili ya bajeti ya wizara yake.
Baada ya kikwazo hicho cha fedha ndipo naibu kamanda mkuu wa majeshi,Sir Rob Magowan akasema mbele ya bunge kuwa kwa hali ilivyo basi nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi kwa kurushiana marisasi mfululuzo hata kwa miezi miwili.
Sir Magowan akamalizia kwa kusema kwa sasa hawana silaha za kutosha kwenye hazina zao. Akawauliza wabunge kwani si kweli? ........that’s true, isn’t it?”
UK military ‘couldn’t fight Russia for longer than two months’
Mimi naongea na watanzania wenzangu, sasa wewe SANTOS inakuhusu nini.We jamaa unaongea nini
Kwahio umeona mimi ni mkongo?Mimi naongea na watanzania wenzangu, sasa wewe SANTOS inakuhusu nini.
Akili imejaa propaganda ndo maana hutaki kuelewa ukweliRubbish.
Humu ndani muna wendawazimu wengi sana,Kwa hiyo ww una akili na unalijua jeshi la Uingereza kuliko waziri wake wa ulinzi?maana yeye ndo kasema nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi lakini ww povu lina kutoka.
Russia ipi?. Hili inayosaidiwa na Iran.Russia 🇷🇺 Ndo Wababe Ata Marekani anakoroma Pembeni
😀😁AkaiinamishaKumbuka uingereza alitwala USA [emoji16]
Siyo Kila Homa Ni Malaria
Kweli kabisa
UK ni wazuri zaidi ya Ukraine, wana silaha nzito zikiwemo za Nuclear ......Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.