Uingereza haina uwezo wa kupigana na Urusi hata kwa miezi 2

Uingereza haina uwezo wa kupigana na Urusi hata kwa miezi 2

Mlitaka mkuu wa majeshi wa uingereza aseme ukweli Kama Hawa wa Burundi ambao wanajeshi wao wanapiga raia wakigombania Malaya huko kawetere
 
Kwamba Ukraine anapigana peke yake?mbona wanajeshi wa NATO kila siku wanauawa ukraine.leo tu kuna taarifa kwamba kamanda wa Poland ameuawa Ukraine na warusi?acheni uongo
Sasa kama hao wanajeshi wa NATO wanauwawa kila siku, basi urusi si atangaze ushiindiii??
 
Kama mtihani jua umepata 0 ya 100 na sitanii, inamaanisha ninachokiongea. Kwa sasa mrusi ana uwezo wa kupigana na makundi ya nchi na kushinda, sio nchi moja
Amepigana na kundi lipi akashinda? Mbwembwee tuuu ndoo anajua. Pale ukrain kwa kuishiwa nguvu kwa mrusi akaamua kutumia wafungwa wasio na hatia na kusababisha vifo vya wapendwa wetu watanzania wasio na hatia. Mtampambaa saana mrusi wenu, lakini vita hawezi labda mikwara mikwara tuuu.
 
Kwamba Ukraine anapigana peke yake?mbona wanajeshi wa NATO kila siku wanauawa ukraine.leo tu kuna taarifa kwamba kamanda wa Poland ameuawa Ukraine na warusi?acheni uongo
Wanajeshi wangapi wa NATO wameuwawa Ukraine mpaka sasa??
 
Amepigana na kundi lipi akashinda? Mbwembwee tuuu ndoo anajua. Pale ukrain kwa kuishiwa nguvu kwa mrusi akaamua kutumia wafungwa wasio na hatia na kusababisha vifo vya wapendwa wetu watanzania wasio na hatia. Mtampambaa saana mrusi wenu, lakini vita hawezi labda mikwara mikwara tuuu.
Muda mungine uwe unaresearch kabla ya kupayuka. Kwa sasa yupo pekeake ila anapigana na nato nzima nyuma ya kimvuli cha mpumbavu Ukraine. Emewatwanga na kuchukua eneo la ardhi yao na bado anaendelea kuyachukua maeneo mengine. Mmarekani ametoa silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola, UK pamoja na nchi nyingine lakini wapi. Walitegemea wakimpa Ukraine silaha, atamfanya mrusi apungukiwe na silaha kusababiwa awe amelegea lakini wapi. Mrusi ameongeza uzalishaji wa silaha na kwa sasa ana nguvu kuliko awali. Kwanza kwa sasa, silaha alizozitumia asilimia karibu 70 ni za vita ya pili ya dunia, vifaa vipya hajaviingiza vitani. Yani chezeni na kila mtu ila mrusi ni level nyingine. Ndio maana muamericab naitamani hii vita ila kwa woga, amemponza mpumbavu kupigwa lakini mrusi bado yupo ngangari. Mtu wa pekee wa kujaribu kumrudisha nyuma mrusi ni USA, na vita ilifikia hapa basi itakuwa ni ya atomic bombs. Hakuna atakayeshinda, itakuwa vita ya 3 ya dunia na ndio ya mwisho. Ila hao British na wapumbavu wengine, hata wakiungana watachezea mkong'oto sio wa karne hii. Muangalie Ukraine saivi, miji umegeuzwa vifusi, je mzee jembe akianza vita ya nuclear warheads??? Muacheni mrusi vile vile, yule ndio mwamba kwa sasa. Wakina Korea n China watakuja ila kwa sasa mrusi ndio tishio la dunia. Pumbavu zao kina nato.
 
Muda mungine uwe u are search kabla ya kupayuka. Kwa sasa yupo pekeake ila anapigana na nato nzima nyuma ya kimvuli cha umpumbavu Ukraine. Emewatwanga na kuchukua eneo Lao na bado anaenda kuyachukua maeneo mengine. Mmarekani ametoa silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola, UK pamoja na nchi nyingine lakini wapi. Walitegemea wakimpa Ukraine silaha, atamfanya mrusi apungukiwe na silaha kusababiwa awe amelegea lakini wapi. Mrusi ameongeza uzalishaji wa silaha na kwa sasa ana nguvu kuliko awali. Kwanza kwa sasa, silaha alizozitumia asilimia karibu 70 ni za vita ya pili ya dunia, vifaa vipya hajaviingiza vitani. Yani chezeni na kila mtu ila mrusi ni level nyingine. Ndio maana vita anaitamani America ila kwa woga, amemponza mpumbavu kupigwa lakini mrusi bado yupo ngangari. Mtu wa pekee wa kujaribu kumrudisha nyuma mrusi ni USA, na vita ilifikia hapa basi itakuwa ni ya atomic bombs. Hakuna atakayeshinda, itakuwa vita ya 3 ya dunia na ndio ya mwisho. Ila hao British na wapumbavu wengine, hata wakiungana watachezea mkonyoto sio wa karne hii. Muangalie Ukraine saivi, miji umegeuzwa vifusi, je mzee jembe akianza vita ya nuclear warheads??? Muacheni mrusi vile vile, ila yule ndio mwamba kwa sasa. Wakina Korea n China watakuja ila kwa sasa mrusi ndio tishio la dunia. Pumbavu zao kina nato. Ez
NATO gani anayopigana, na wakati jaaama yako kwa kuishiwa nguvu kachukua wafungwa wakitz na kuwasababishia vifo bila sababu yoyote. Kama anapigana hao NATO wako unawasema hapa, si ashindee?? Mikwaraaa mingiii vitendo F. kakundi kakigaidi kako kanamsigina hadi uvunguni mwakee. Huyu jama yako hajawahi kushinda vita yoyote. Ashinde kwanza ukrain. Aaache mbwembweeee.
 
Kuna mambo huwa hayahitaji akili kubwa kuyabaini, yanahitaji akili ya kawaida sana wazungu wanaita COMMON SENSE. Sasa kama Ubongo wako unashindwa kuchakata kwa kiwango hiki cha kawaida tu BASI TAFUTA MWANAMKE AMBAYE KWAO WAPO SMART KUCHWANI UMUOE ANGALAU UPATA WATOTO WAELEWA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌👏
 
Urusi hawezi pigana hata na sudani ya kusini. Ni mbwembwe tuuu. Anatumia mikwaraa mingi. Ka ukrain tuu kanakolingana na mkoa wa pwani, kako kanamsigina na hatotoboa, halafu eti anataka kujipima ubavu na uingerezaa?? Au anatafuta lawamaa
Unasemaaaa
 
Hizo ni propaganda tu.Uingereza akipigana vita na urusi ujue watoto wake hawatokaa kimya.
 
Uk hawezi kuingia vita na mrusi wala nchi yoyote
Hapo mwingereza anajua wapo watatu ambao ni tatizo China, Russia na Iran
Na kuna sheria haimlazimishi mwanajeshi kwenda vitani kama hataki
Kwa hiyo ni ngumu sana kujipeleka mbele
Kama ni Nato yote sawa ila na hiyo itakuwa ni vita ya dunia ambayo naona haiwezekani
Screenshot_20240328_101936_Chrome~2.png
 
Urusi hawezi pigana hata na sudani ya kusini. Ni mbwembwe tuuu. Anatumia mikwaraa mingi. Ka ukrain tuu kanakolingana na mkoa wa pwani, kako kanamsigina na hatotoboa, halafu eti anataka kujipima ubavu na uingerezaa?? Au anatafuta lawamaa
Jamii forum kwa sasa imejaa wajinga na mazuzu wengi sana.uzuri tu wanajua kusoma na kuandika.
 
Kiswahili ni Lugha muhimu sana kwetu sababu imetuunganisha kama Taifa, lakini disadvantage yake ni kwamba inadumaza akili za watu. Unapofikiri kwa hisia za Kiswahili huwezi kupata matokeo chanya.
Mti utaita kijiti, mchicha utaita bangi.
Baba yako na mama yako,wana hasara sana.
 
Baba yako na mama yako,wana hasara sana.
Wewe ungekuwa huku kwetu usingeitwa kikao chochote cha maamuzi, wewe ulivyo poyoyo ni wale wanaosubiri kupewa maelekezo tu tena kuelezwa mara 3 maana mna vichwa vigumu sana kuelewa
 
Wewe hata hujui nini unaongeza.urusi sasa hivi anaipiga NATO nzima Ukraine ingawa NATO wamepeleka kila kitu silaha za kila aina.yaani nchi zaidi ya 30 imeshindwa kuizuia urusi na wanatoa hela na wanajeshi wanaojiita volunteers.yaani hata Marekani yenyewe hawaiwezi urusi ndo maana hawathubutu kuivamia moja kwa moja na kuamua kutumia nchi nyingine kama Ukraine kufanya vita na urusi na bado urusi wanaowapiga NATO nzima.ushabiki usikufanye usifikirie vizuri.
Rubbish.
 
NATO gani anayopigana, na wakati jaaama yako kwa kuishiwa nguvu kachukua wafungwa wakitz na kuwasababishia vifo bila sababu yoyote. Kama anapigana hao NATO wako unawasema hapa, si ashindee?? Mikwaraaa mingiii vitendo F. kakundi kakigaidi kako kanamsigina hadi uvunguni mwakee. Huyu jama yako hajawahi kushinda vita yoyote. Ashinde kwanza ukrain. Aaache mbwembweeee.
Hivi unajua hata hii vita imeanzaje?? Unajua muendelezo wa hii vita au umekurupuka?? Ni nani kati ya Ukraine n Russia anayesaidiwa vita na nchi zote za nato pamoja na wapambe wengine wa ziada?? Hivi unajua wewe Russia anapigana na Ukraine iliyosheheni silaha za kivita za marekani + washirika wake wotee?? Hivi unajua Russia amefungiwa mipaka yake?? Hivi unajua mrusi mrusi amezuiwa kufanya biashara na nchi za jirani ili kumpunguzia misuli ya kiuchuki ili aishindwe vita?? Hivi unajua Ukraine ameporwa ardhi kwenye hii vita?? Utasemaje mrusi kashindwa vita ilhali anatembeza ku kipigo na kuendelea kuchukua ardhi ya Ukraine ijapokuwa emetengwa na dunia na pesa zake zotee zilizopo nje ya nchi yake zimetaifishwa??? Ni dhahiri unapayuka tu, haijui hii vita wala haufatilii muendelezo wake?? Mrusi ana nguvu kuliko fikra zako zinavyomfikiria. Ndio mwanaume wa kweli, one man army.
 
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.

Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la nyongeza kwa ajili ya bajeti ya wizara yake.

Baada ya kikwazo hicho cha fedha ndipo naibu kamanda mkuu wa majeshi,Sir Rob Magowan akasema mbele ya bunge kuwa kwa hali ilivyo basi nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi kwa kurushiana marisasi mfululuzo hata kwa miezi miwili.

Sir Magowan akamalizia kwa kusema kwa sasa hawana silaha za kutosha kwenye hazina zao. Akawauliza wabunge kwani si kweli? ........that’s true, isn’t it?”

UK military ‘couldn’t fight Russia for longer than two months’

Russia 🇷🇺 Ndo Wababe Ata Marekani anakoroma Pembeni
 
Back
Top Bottom