Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

kama mnavyosema msiwaamini mabeberu , inabid muendelee kutowaamini vile vile , hakuna aliye jua kuhusu mabomu ya nuclear mpk lilipolipuliwa huko kwa vijicho Nagashaki na Hiroshima
 
kama mnavyosema msiwaamini mabeberu , inabid muendelee kutowaamini vile vile , hakuna aliye jua kuhusu mabomu ya nuclear mpk lilipolipuliwa huko kwa vijicho Nagashaki na Hiroshima
Simamieni demokrasia yenu.........nitaamini ninachotaka kuamini basi.....na ww fata kile unachokitaka ....maisha murua kabisa
 
Na zina speed kuliko za US yani in a press of a button USA patasawazika chap kabla hata wao hawajamfikia mrusi
Na kuna missile ya russia inaitwa rs-28 sarmat nato wameipa jina la satan II speed Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi) na angalia distance kutoka russia to england karibia km 6000 sasa piga hesabu zako lifika baada ya dakika ngapi....urusi ni nightmare kwa NATO upende usipende...russia sio iraq vandugu
 
Wanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!

Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.

Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
Waambie wajaribu
 
nchi kulipoti madhaifu yake vitani? nipe na mifano nikuelewe mwana propoganda
 
nchi kulipoti madhaifu yake vitani? nipe na mifano nikuelewe mwana propoganda
Mfano umewahi kujiuliza kwa nn marekani wajawahi kuliport officially failure ya patriot missiles...ukishajua kwa nini ulimwengu unaambiwa tu ufanisi wa hizi missile na sio madhaifu ndio utajua propaganda ni nini
 
ndo ujue hata hicho alichokiripoti kinaweza kisiwe cha kweli sababu ya hii taarifa yako☝️
 
ndo ujue hata hicho alichokiripoti kinaweza kisiwe cha kweli sababu ya hii taarifa yako[emoji3516]
Kwa mfano kwa hyo taarifa unavyoona inaweza kuwa na faida kwa marekani sab hyo ni exposure ya weakness zake
 
Kwa mfano kwa hyo taarifa unavyoona inaweza kuwa na faida kwa marekani sab hyo ni exposure ya weakness zake
jeshi lolote haliwezi kuchapisha udhaifu labda uvuje kwa majasusi ukiona wamechapisha wenyewe jiulize mara mbili mbili na sio marekani tu, dunia kwa ujumla , ni maoni yangu tu lkn.
 
Source: CNN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…