Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

Bado wanajaribu wakati mrusi tayari anayatumia,,......tena alivyoyatumia Ukraine kawapagawisha kabisa hadi wameamua kuungana wote ili na wao wapate makombora ya hypersonic haraka iwezekanavyo.............aliefunika hadi sasa ni mchina maana kitu alichojaribu mara ya mwisho kilishangaza wengi hadi warusi wenyewe
kama mnavyosema msiwaamini mabeberu , inabid muendelee kutowaamini vile vile , hakuna aliye jua kuhusu mabomu ya nuclear mpk lilipolipuliwa huko kwa vijicho Nagashaki na Hiroshima
 
kama mnavyosema msiwaamini mabeberu , inabid muendelee kutowaamini vile vile , hakuna aliye jua kuhusu mabomu ya nuclear mpk lilipolipuliwa huko kwa vijicho Nagashaki na Hiroshima
Simamieni demokrasia yenu.........nitaamini ninachotaka kuamini basi.....na ww fata kile unachokitaka ....maisha murua kabisa
 
Na zina speed kuliko za US yani in a press of a button USA patasawazika chap kabla hata wao hawajamfikia mrusi
Na kuna missile ya russia inaitwa rs-28 sarmat nato wameipa jina la satan II speed Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi) na angalia distance kutoka russia to england karibia km 6000 sasa piga hesabu zako lifika baada ya dakika ngapi....urusi ni nightmare kwa NATO upende usipende...russia sio iraq vandugu
 
Wanaogopa Mrusi yupi?!!! Huyu huyu aliyeshindwa kuteka Kyiv pamoja na kutumia hizo hypersonic zake?!

Hawapendi tu kusababisha 'mwisho wa dunia'.

Kwa 'nuclear warheads' wanazomiliki US wana uwezo wa kusawazisha bara lolote in a matter of minutes!
Waambie wajaribu
 
Unavoonekana hujui hata maana ya propoganda...propoganda siku zote ni taarifa za kiupendeleo dhidi ya adui yako mfano nchi inaporipoti madhaifu yake vitani hapo kuna chance ya hiyo taarifa kuwa kweli maana haina masirahi yoyote kwake lkn inapofika nchi inaripoti mazuri tu upande wake kuliko kwa adui yake inaweza kuwa ni kwelli lakini kuna chance kubwa ya kuwa propoganda...so suala la vyombo vya marekani kukili kuwa hawana hypersonic missile linai undermine us in military strength kitu ambacho hakina masirahi yeyote kwake
nchi kulipoti madhaifu yake vitani? nipe na mifano nikuelewe mwana propoganda
 
nchi kulipoti madhaifu yake vitani? nipe na mifano nikuelewe mwana propoganda
Mfano umewahi kujiuliza kwa nn marekani wajawahi kuliport officially failure ya patriot missiles...ukishajua kwa nini ulimwengu unaambiwa tu ufanisi wa hizi missile na sio madhaifu ndio utajua propaganda ni nini
 
ndo ujue hata hicho alichokiripoti kinaweza kisiwe cha kweli sababu ya hii taarifa yako☝️
 
ndo ujue hata hicho alichokiripoti kinaweza kisiwe cha kweli sababu ya hii taarifa yako[emoji3516]
Kwa mfano kwa hyo taarifa unavyoona inaweza kuwa na faida kwa marekani sab hyo ni exposure ya weakness zake
 
Kwa mfano kwa hyo taarifa unavyoona inaweza kuwa na faida kwa marekani sab hyo ni exposure ya weakness zake
jeshi lolote haliwezi kuchapisha udhaifu labda uvuje kwa majasusi ukiona wamechapisha wenyewe jiulize mara mbili mbili na sio marekani tu, dunia kwa ujumla , ni maoni yangu tu lkn.
 
Ukipata habari lazima utumie maarifa kung'amua ukweli na uongo wake...sio kila habari ni ya kubeba kama ilivyo, kama ilivyo siyo kila habari ni ya kuiacha kama ilivyo...

Nina uwezo wa kuchuja propaganda, na kutambua habari za kweli...wewe kama huwezi kuchuja vitu hivyo, usilazimishe wengine tuwe kama wewe...TUSIPANGIANE SOURCES ZA KUCHUKUA TAARIFA
Source: CNN
FB_IMG_16497853832554182.jpg
 
Back
Top Bottom