Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana.

Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya hypersonic, huku Russia ikiwa imeshayatumia mara kadhaa makombora hayo kwenye vita vya Ukraine.

Silaha za hypersonic ni zile zinazozidi kasi ya sauti mara tano. Ni vigumu zaidi kujilinda dhidi ya silaha hizo kwa sababu ya kasi yake na vilevile yanaruka katika mwinuko wa chini - nje ya mstari wa kuonekana kwa rada za ardhini - na yanaweza kurushwa katikati ya ndege.

Mnamo tarehe 19 Machi, Urusi ilidai kutumia kombora la hypersonic kuharibu ghala la silaha magharibi mwa Ukraine, na ujasusi wa jeshi la Marekani umependekeza kuwa vikosi vya Urusi vimezitumia mara kwa mara tangu wakati huo. Mashambulizi hayo yaliashiria matumizi ya kwanza ya makombora ya hypersonic katika mapigano.

=========

SmartSelect_20220408-050122_Chrome.jpg
Screenshot_20220408-045915_Chrome.jpg
 
Mbona kitambo mzigo upo tayari tena hii ya Marekani ni hatari zaidi sababu inatumia technology ya Scramjet ambayo ni hatari mbayaView attachment 2180002View attachment 2180004View attachment 2180005View attachment 2180006
Bado wanajaribu wakati mrusi tayari anayatumia,,......tena alivyoyatumia Ukraine kawapagawisha kabisa hadi wameamua kuungana wote ili na wao wapate makombora ya hypersonic haraka iwezekanavyo.............aliefunika hadi sasa ni mchina maana kitu alichojaribu mara ya mwisho kilishangaza wengi hadi warusi wenyewe
 
Bado wanajaribu wakati mrusi tayari anayatumia, tena alivyoyatumia Ukraine kawapagawisha kabisa hadi wameamua kuungana wote ili na wao wapate makombora ya hypersonic haraka iwezekanavyo, aliefunika hadi sasa ni mchina maana kitu alichojaribu mara ya mwisho kilishangaza wengi hadi warusi wenyewe
Una uhakika USA hana hypersonic ?

Rudi kasome Tena uliposoma
 
Bado wanajaribu wakati mrusi tayari anayatumia,,......tena alivyoyatumia Ukraine kawapagawisha kabisa hadi wameamua kuungana wote ili na wao wapate makombora ya hypersonic haraka iwezekanavyo.............aliefunika hadi sasa ni mchina maana kitu alichojaribu mara ya mwisho kilishangaza wengi hadi warusi wenyewe
Nenda kasome Scramjet technology halafu urudi hapa.
 
Mbona kitambo mzigo upo tayari tena hii ya Marekani ni hatari zaidi sababu inatumia technology ya Scramjet ambayo ni hatari mbayaView attachment 2180002View attachment 2180004View attachment 2180005View attachment 2180006
Acha uongo, bado Marekani hawajafanikiwa sio tu kuunda kombora la hypersonic bali hata kuimudu teknolojia yake. Waziri wa Ulinzi mwenyewe wa Marekani General Lloyd Austin majuzi jumanne amesema Marekani imeamua kuakhirisha programu ya kutengeneza kombora la hypersonic kwa mwaka mmoja toka sasa baada ya kufeli kwa jaribio la nne walilofanya hivi karibuni. Na hii ni habari imeripotiwa jana tarehe 7 April na vyombo kibao vya kimataifa vikiwemo Bloomberg news na CNN.

Msituchukulie poa, tupo well updated na taarifa za duniani.

======

Screenshot_20220408-074340_Samsung Internet.jpg
SmartSelect_20220408-074415_Samsung Internet.jpg
SmartSelect_20220408-074627_Samsung Internet.jpg
 
Acha uongo, bado Marekani hawajafanikiwa sio tu kuunda kombora la hypersonic bali hata kuimudu teknolojia yake. Waziri wa Ulinzi mwenyewe wa Marekani General Lloyd Austin majuzi jumanne amesema Marekani imeamua kuakhirisha programu ya kutengeneza kombora la hypersonic kwa mwaka mmoja toka sasa baada ya kufeli kwa jaribio la nne walilofanya hivi karibuni. Na hii ni habari imeripotiwa jana tarehe 7 April na vyombo kibao vya kimataifa vikiwemo Bloomberg news na CNN.

Msituchukulie poa, tupo well updated na taarifa za duniani.

======

View attachment 2180051View attachment 2180052View attachment 2180053
Jamaa wanasiasa za yanga na simba, ccm na chadema.
 
Jamaa wamepanic ndo maana wanaogopa kumface mrusi direct maana wanajua kifaa alichokua nacho......na kipindi watakapoweza kuunda hilo kombora ,,mrusi atakua mbele yao zaidi.........jamaa wanahangainga kutest kombora la mach 5 wakati mchina alitest kitu cha mach 8
 
Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana.

Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya hypersonic, huku Russia ikiwa imeshayatumia mara kadhaa makombora hayo kwenye vita vya Ukraine.

Silaha za hypersonic ni zile zinazozidi kasi ya sauti mara tano. Ni vigumu zaidi kujilinda dhidi ya silaha hizo kwa sababu ya kasi yake na vilevile yanaruka katika mwinuko wa chini - nje ya mstari wa kuonekana kwa rada za ardhini - na yanaweza kurushwa katikati ya ndege.

Mnamo tarehe 19 Machi, Urusi ilidai kutumia kombora la hypersonic kuharibu ghala la silaha magharibi mwa Ukraine, na ujasusi wa jeshi la Marekani umependekeza kuwa vikosi vya Urusi vimezitumia mara kwa mara tangu wakati huo. Mashambulizi hayo yaliashiria matumizi ya kwanza ya makombora ya hypersonic katika mapigano.

=========

View attachment 2179945View attachment 2179946
Wakati wao wanaanza utafiti wakati urusi anazo za kutosha , ndio hawatalala usingizi ***** walizoe kuiba technologist na kuatazamia

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom