Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Suala la kutunguliwa drone na mwarabu wapi na wapi?? Au mwarabu alikula kibogaHuyo mwarabu aliwaharibu akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la kutunguliwa drone na mwarabu wapi na wapi?? Au mwarabu alikula kibogaHuyo mwarabu aliwaharibu akili
We kweli ndim,, sasa tujadili mwarabu au kutunguliwa droneAcheni kumuabudu huyo mwarabu ili laana iatoke muache kulipuka mabomu.
ndege sio drone , tofatisha , weng mnaendeshwa na mahabaaTungua ndege kmmk unafukuza huo ni uoga Russia kashusha Drone ya mericani kwa kuingia Anga zake
Hebu nionyesha wapi nilipopinda kwenye coment yangu ya mwanzo kabisa,, we kama umefilwha na waarabu hasira zako usitutolee sisi,, malizana nao hao hao,, uzi wa drone unaleta habari za waarabu we choko niniHuu uzi hauhusu drone, hivyo ukipinda unapindishwa, huyo mwarabu unayemuabudu kakupa laana.
Story za jamaa huyu uweka chumvi mno - anajua kiingereza vizuri tu, lakini ana kawaida ku-distort matukio kimakusudi, hivi kweli hajui tofauti kati ya maneno ya ku-escort na ku-chase - ni wapi Wajerumani na Waiingereza wamesema walizifukuza ndege za Urusi (tanker na fighter jet bila shaka) habari zinaeleza kwamba zilisindikizwa peaceful ie bila incident yoyote na huu ni utaratibu kuribu wa mataifa yote ndege zinapo karibia air space ya taifa husika - zinakuwa escorted na sio kufukuzwa au kutunguliwa.Mwenzao aliidungua wao wameifukuza![]()
![]()
![]()
Hebu nionyesha wapi nilipopinda kwenye coment yangu ya mwanzo kabisa,, we kama umefilwha na waarabu hasira zako usitutolee sisi,, malizana nao hao hao,, uzi wa drone unaleta habari za waarabu we choko nini
Msikie huyu jamaa alivyo wa ajabu, kwa taarifa yako jana Mombasa nzima wakristo kwa waasilamu waliandamana wakipinga mambo ya ushoga na usagaji - wakilahumu majaji wa Kenya waliopitisha pendekezo la kiwenda wazimu kwa kushinikizwa bila shaka na mabeberu.Huu uzi unahusiana wapi na drones, au zaidi unahusiana wapi na mambo ya ushoga au huo ujinga mnaopenda kutaja taja wa sijui rangi za upinde ulizozitaja hapo, watu wa hiyo dini ya mwarabu mko obsessed sana na mambo ya ushoga na ndio maana pwani na Pemba kote mnaongoza kwa ushoga.
Amedungua nini na wapi?Mwenzao aliidungua wao wameifukuza [emoji23][emoji23][emoji23]
Msikie huyu jamaa alivyo wa ajabu, kwa taarifa yako jana Mombasa nzima wakristo kwa waasilamu waliandamana wakipinga mambo ya ushoga na usagaji - wakilahumu majaji wa Kenya waliopitisha pendekezo la kiwenda wazimu kwa kushinikizwa bila shaka na mabeberu.
Na huko nchini Uganda wananchi walikuwa wanalalamikia mabeberu kutumia law school za vyuo vikuu kama Makerere ili baadae wahitimu watumike ku-propagate mambo ya ushoga -mabeberu hatari sana, wanazi nyemelea law schools kwa sababu wanajua majaji na mahakimu wa kupitisha ajenda zao za ushoga wanatoka huko - mpaka wanakuwa funded kueneza ushenzi huu.
Mwisho, nilikwisha kuhoji mara nyingi tu kwamba hivi hawa Waarabu waliwahi kukukwaza kitu gani kimaisha?? Kama nakumbuka vizuri kuna mtaalamu wa saikolojia kutoka hapa Jamii forums aliwahikukupatia ushauri wa bure kwamba chuki zako kwa Waarabu zinapita kipimo hivyo ingekuwa vema kama ungekwenda kuonanana na mwana saikolojia akakusaidia - na ni kweli, we jaribu kupitia past post zako zote hapa, ndiyo utaona kuna kitu hakijakaa sawa ,hatuyasemi haya kwa nia mbaya hata kidogo- kuna tatizo.
Dini imeingiaje hapo? Yaani nyinyi mashabiki wa upinde akili zenu zote mnawaza dini hamlali, acheni Ujuha kama unataka leta habari za kidini ww andika za kidini tuUrusi ndio ilikua tegemezi la dini yenu dhii ya Marekani, ila sasa kwisha.
Yaani akili yake anahisi kila anaepinga marcani yy ni mdini [emoji1787][emoji1787]Dini imefanya nini kwenye issue za kutunguliwa drone,, we jamaa itakuwa fuse kichwani zimekatika
Mwarabu kaingiaje hapo, ww ni mpumbavu tena kilazaHuyo mwarabu aliwaharibu akili
Dini imeingiaje hapo? Yaani nyinyi mashabiki wa upinde akili zenu zote mnawaza dini hamlali, acheni Ujuha kama unataka leta habari za kidini ww andika za kidini tu