Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu tuna matatizo sana
Nina matatizo yangu ndiyo ila sio makubwa kama yako, stop being racist.Na wewe ni miongoni mwa binadamu mwenye matatizo makubwa.
Je, Umesoma paragraph ya mwisho ya hiyo post kabla hujajibu???.
Si kweli, ni kwamba kuna binadamu wana roho za ajabu, si wazungu tu, hata babu zako walifanya biashara ya utumwa na wazungu kwa kupewa vizawadi vya hapa na pale.Ni ngumu sana kuwaelewa hawa watu.
1. Wanakununua na kukuuza, wakiona biashara imekua ghali kuiendesha wanaanzisha kampeni ya kuipinga. Mpiga zumari kwenye kampeni husika anakua ni muathirika wa biashara ya utumwa.
GHAFLA MZUNGU ANAANZA KUSIFIWA KWA KUPINGA BIASHARA ALIYOKUA AKIIFANYA. Wanaomsifu ni miongoni wa WATUMWA.🎓
2. Anakuja nchini kwako kiharamia, anajichimbia na kuanza kukubagua ndani ya nchi yako! Badala ya kupambana kumtoa unaanza mapambano asikubague😁Akishathibitisha kuwa umeshapoteza kumbukumbu za uhalali wake kuwa nchini kwako anatengeneza magitaa, vinubi na matari kisha anazisha kamoeni ya kupinga UBAGUZI WA RANGI. Mwongoza kampeni anakuwa mzawa mwathirika wa uvamizi wa maharamia na kisha ubaguzi wa rangi.
Hatima ya kampeni ANASIFIWA MZUNGU MVAMIZI na anajipatiamo uhalali wa kumiliki na kutawala sawasawa na wazawa.
HUYO NDIO MUZUNGU.
Wazungu wako makini sana. Wanapinga unyanyasaji wa mtu mweusi kuliko hata waafrika wenyewe! Mungu awabariki sana hawa jamaa.
Hata muwapambe vipi, mkijipendekeza vipi wanawaona manyani, leo hii ulimwengu mzima unaandamana kulani ubaguzi na mauaji yao but still shithole mnawapamba [emoji23][emoji23]JFIkumbukwe kua hiyo bidhaa waliiuziwa na machifu[emoji16]
Hawakuinga wao front kuisaka.
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzie.
Ata uwapambe vipi na mahaba yako haiondoshi ukweli kuwa unaonekana nyani huko kwao na wakikuona wanakuuwa, uzuri wa history haifutiki [emoji23] ila unazidi kukomaa kuwatetea magaidi, black can't be white forever, mpka leo 2020 wanawauwa but still unakomaa nao shitholeWazungu wako makini sana. Wanapinga unyanyasaji wa mtu mweusi kuliko hata waafrika wenyewe! Mungu awabariki sana hawa jamaa.
Mkuu humu kuna watu wana mahaba na hawa white pig [emoji201] na huwezi kuwambia ukweli huo wakakubali na bado matokeo ya ajabu yatajitokezaUsanii tu, Biashara ya Utumwa Dunia nzima ilifanywa na English Monarchy, wavamie Windsor kwanza ndiyo angalau nitawaamini, ...
Nina matatizo yangu ndiyo ila sio makubwa kama yako, stop being racist.
Wazungu wanacheza game la Hide and Seek.
Unatamani hilo tukio lisingetokea huko uzunguni, na pia unatamani ukweli huo ujifiche yaani dunia iwe kimya hahahahaha, usihangaike mkuu history haijifichi... now you are talking.
Sema unatania! Yaani Waarabu waandamane kuwaunga mkono African Americans wakati kila siku wakipigwa mabomu na Wamarekani wanao-include hao hao African Americans?! Wawaunge mkono wakati wanajua wanachukiwa na Wamarekani wote, iwe White Americans or Black Americans! Au hujaona angalau ile video iliyokuwa inasambaa tangu juzi huku Black American mmoja akisema wazi kwamba, kama polisi wana hamu ya kuua, waende wakaue Iraq!! Na ukweli ni kwamba, huo ndio mtazamo wa Wamarekani wengi, blacks and whites! Ulishawahi kusikia hao black wakiandamana kupinga mabomu wanayopigwa Waarabu?!... mbona sioni waarabu nao wakiandamana ili kujikosha? Maana wao ndio hasa walikuwa wanafuata "bidhaa" shambani kuipeleka sokoni; wao hawaguswi na utumwa kwa kuzingatia maelezo yako hapo juu?
Mh haya maandamano yana kitu nyuma yake
Sema unatania! Yaani Waarabu waandamane kuwaunga mkono African Americans wakati kila siku wakipigwa mabomu na Wamarekani wanao-include hao hao African Americans?! Wawaunge mkono wakati wanajua wanachukiwa na Wamarekani wote, iwe White Americans or Black Americans! Au hujaona angalau ile video iliyokuwa inasambaa tangu juzi huku Black American mmoja akisema wazi kwamba, kama polisi wana hamu ya kuua, waende wakaue Iraq!! Na ukweli ni kwamba, huo ndio mtazamo wa Wamarekani wengi, blacks and whites! Ulishawahi kusikia hao black wakiandamana kupinga mabomu wanayopigwa Waarabu?!
Ni ngumu sana Mwarabu kumuunga mkono Mmarekani wa rangi yoyote kwa sababu wote mentality yao ni ile ile!!
Kimsingi, hii vita ni ya kwetu sie watu weusi kwa sababu Waarabu na wenyewe wana vita vya kwao wanavyopigana peke yao! Na kama kuna wanaowasaidia, watu hao sio Wamarekani including African Americans! Na binafsi, kuna Wazungu wengi tu wanaopinga haya kutoka mioyoni mwao kabisa. Wazungu wengi wana ubaguzi wa kawaida kama ambao Watanzania kwa Watanzania huwa tunabaguana hata wenyewe kwa wenyewe.
... kwa maelezo haya this matter seems to be complicated than it seems to be!Sema unatania! Yaani Waarabu waandamane kuwaunga mkono African Americans wakati kila siku wakipigwa mabomu na Wamarekani wanao-include hao hao African Americans?! Wawaunge mkono wakati wanajua wanachukiwa na Wamarekani wote, iwe White Americans or Black Americans! Au hujaona angalau ile video iliyokuwa inasambaa tangu juzi huku Black American mmoja akisema wazi kwamba, kama polisi wana hamu ya kuua, waende wakaue Iraq!! Na ukweli ni kwamba, huo ndio mtazamo wa Wamarekani wengi, blacks and whites! Ulishawahi kusikia hao black wakiandamana kupinga mabomu wanayopigwa Waarabu?!
Ni ngumu sana Mwarabu kumuunga mkono Mmarekani wa rangi yoyote kwa sababu wote mentality yao ni ile ile!!
Kimsingi, hii vita ni ya kwetu sie watu weusi kwa sababu Waarabu na wenyewe wana vita vya kwao wanavyopigana peke yao! Na kama kuna wanaowasaidia, watu hao sio Wamarekani including African Americans! Na binafsi, kuna Wazungu wengi tu wanaopinga haya kutoka mioyoni mwao kabisa. Wazungu wengi wana ubaguzi wa kawaida kama ambao Watanzania kwa Watanzania huwa tunabaguana hata wenyewe kwa wenyewe.
Wewe huna kitu kichwani,unawaza kwa kutumia tumbo.Elimu inasaidia mtu kuwa objective. Wapinzani wetu Tz kwa sababu ya kukosa elimu wengi wao ni subjective ktk kupinga vitu. Unakuta mpinzani anamchukia mtu kwa sababu ya kabila lake (ingawa mpaka sasa wameshindwa vibaya mno).
Hahahaha atari sanaWewe huna kitu kichwani,unawaza kwa kutumia tumbo.
... nimependa jinsi tukio hili la kidhalimu lilivyoweza kuwekwa wazi na hatua stahiki kuchukuliwa kwa wahusika bila figisufigisu za serikali. Lingetokea China au Iran wala tusingejua kuna kitu kama hicho kimetokea!Unatamani hilo tukio lisingetokea huko uzunguni, na pia unatamani ukweli huo ujifiche yaani dunia iwe kimya hahahahaha, usihangaike mkuu history haijifichiView attachment 1471860View attachment 1471861