Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

Ata uwapambe vipi na mahaba yako haiondoshi ukweli kuwa unaonekana nyani huko kwao na wakikuona wanakuuwa, uzuri wa history haifutiki [emoji23] ila unazidi kukomaa kuwatetea magaidi, black can't be white forever, mpka leo 2020 wanawauwa but still unakomaa nao shithole View attachment 1471859
... uarabuni ndiko tunaonekana manyani haswa Mkuu!
 
Wapi umeskia Iran kuna muafrika kabaguliwa kama hivyo? Ndio maana nikakuambia unatamani hilo tukio litokee nchi za kiarabu but now ukweli umekuingia ingawaje unaumia [emoji23][emoji23]
... nimependa jinsi tukio hili la kidhalimu lilivyoweza kuwekwa wazi bila figisufigisu za serikali. Lingetokea China au Iran wala tusingejua kuna kitu kama hicho kimetokea!
Muangalie Ayatullah huyo
FB_IMG_1591025877306.jpg
 
Ni ngumu sana kuwaelewa hawa watu.

1. Wanakununua na kukuuza, wakiona biashara imekua ghali kuiendesha wanaanzisha kampeni ya kuipinga. Mpiga zumari kwenye kampeni husika anakua ni muathirika wa biashara ya utumwa.
GHAFLA MZUNGU ANAANZA KUSIFIWA KWA KUPINGA BIASHARA ALIYOKUA AKIIFANYA. Wanaomsifu ni miongoni wa WATUMWA.🎓

2. Anakuja nchini kwako kiharamia, anajichimbia na kuanza kukubagua ndani ya nchi yako! Badala ya kupambana kumtoa unaanza mapambano asikubague😁Akishathibitisha kuwa umeshapoteza kumbukumbu za uhalali wake kuwa nchini kwako anatengeneza magitaa, vinubi na matari kisha anazisha kamoeni ya kupinga UBAGUZI WA RANGI. Mwongoza kampeni anakuwa mzawa mwathirika wa uvamizi wa maharamia na kisha ubaguzi wa rangi.
Hatima ya kampeni ANASIFIWA MZUNGU MVAMIZI na anajipatiamo uhalali wa kumiliki na kutawala sawasawa na wazawa.

HUYO NDIO MUZUNGU.
Ambao Lissu anawaabudu sana mpaka kusema tusicheze na MIGA tutashtakiwa mpaka tufilisike
 
1591603851570.jpeg

Mtu aliyekuwa anawauza Waafrika Caribbean na Amerika anapewa heshima zote hizi!
 
Labda kuna mabeberu weusi wanafadhili haya maandamano maana sielewi kabisa ni vipi wazungu wawe mstari wa mbele kupinga ubaguzi wa rangi kiasi hiki.
 
... nimependa jinsi tukio hili la kidhalimu lilivyoweza kuwekwa wazi na hatua stahiki kuchukuliwa kwa wahusika bila figisufigisu za serikali. Lingetokea China au Iran wala tusingejua kuna kitu kama hicho kimetokea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Faidikeni namatunda yademokrasia CHINA kawafanya nini [emoji23]

Yaani matatizo mpate nyie halafu mumtaje UCHINA [emoji16][emoji3][emoji2]
 
Si kweli, ni kwamba kuna binadamu wana roho za ajabu, si wazungu tu, hata babu zako walifanya biashara ya utumwa na wazungu kwa kupewa vizawadi vya hapa na pale.

Hakuna mzungu anayeweza kufanya ubaya Africa bila kusaidiwa na mwafrica. Wapo wazungu wema sana ambao wanaenda mpaka kwenye nchi zenye vita kusaidia huduma za afya n. K. Wapo wanaoadupt watoto na kuwatunza kama wa kwao. Leo hii wapo walio mstari wa mbele kuandamana bila kujali uwepo wa korona sababu wamechoshwa na kusikia unyanyasaji wa mtu mweusi. Wazungu na waafrika ni binadamu, wapo wema na wabaya.
Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingesumbuka kubishana
 
Ambao Lissu anawaabudu sana mpaka kusema tusicheze na MIGA tutashtakiwa mpaka tufilisike
Nakufananisha na nyapara wa mkoloni wakati wa kudai uhuru.
Hii miga mbona inawatisha kuliko kifiro?
 
Hata muwapambe vipi, mkijipendekeza vipi wanawaona manyani, leo hii ulimwengu mzima unaandamana kulani ubaguzi na mauaji yao but still shithole mnawapamba [emoji23][emoji23]JFView attachment 1471854View attachment 1471855View attachment 1471856View attachment 1471857
Nasikitika sana kwa kutokuielewa point yangu, nilikusudia kuwaongeza washtakiwa ili jamii ijue trend ya uhalifu inawahusu nani na nani.
Hata hawa machifu wa sasa wanatuuza kwa kina "Thornton" wanawaachia madini na kujisifi vioo walivyoachiwa "mabomba ya gas na madreamliner" wakiyaangalia wanacheeeeeka na kututaka tuwapongeze. kumbe wameshatuingiza mkenge!
 
... mbona sioni waarabu nao wakiandamana ili kujikosha? Maana wao ndio hasa walikuwa wanafuata "bidhaa" shambani kuipeleka sokoni; wao hawaguswi na utumwa kwa kuzingatia maelezo yako hapo juu?
ngoja waje wajukuu zao mda si mrefu utapewa majibu
 
Waandamanaji wa nchini Uingereza wanaopinga ubaguzi wa rangi baada ya kutokea kifo cha George Floyd, wameivunja sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara ya watumwa iliyoko mjini Bristol

Sanamu iliyotupwa majini ni ya Edward Colston ilikuwepo tangu mwaka 1895. Watu walipitisha chagizo la kuiondoa sanamu hiyo kwa kuwa ilikuwa inabeba historia mbaya, hivyo katika maandamano hayo wanaandamanaji waliitupa sanamu hiyo majini

Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yameendelea kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo London, Rome, Madrid, Warsaw, Sydney na Hongkong waandamanaji wakiwa na ujumbe ya kuwa ‘Black lives matter’

Katika maeneo mengi waandamanaji wameonekana kutojali uwepo wa #CoronaVirus kwa kuwa hawaachiani ile mita moja inayoshauriwa kati ya mtu na mtu. Pia ni wachache kati yao ambao huvaa barakoa
View attachment 1471686
====

In London, thousands congregated outside the US Embassy on Sunday despite British ministers saying that public protests ran the risk of increasing the spread of Covid-19.
Chants of "No Justice, No Peace" and "Black Lives Matter" bounced off the building in the Vauxhall region of the city, with a jubilant atmosphere for much of the day.
"Together, we will let our voices be heard. Enough is Enough. Black people cannot keep suffering," one protester addressed the crowd.

At times, the activists chanted "The UK is not innocent." Others had messages for the US President, with one sign reading: "Black lives trump your ego, Mr. President."

The previous day, activists had descended onto Parliament Square in the center of the city. Protests were peaceful for several hours, but turned heated in the evening when police and crowds faced off outside Downing Street.

In one incident, video posted online showed a police horse suddenly bolting, causing its officer to crash into a street light and fall to the ground. The loose horse then caused panic as it ran through groups of protesters, before making its way back to police stables.

"I stand with you. George Floyd's brutal killing must lead to immediate and lasting change everywhere," London Mayor Sadiq Khan said in a Sunday message to protesters, while condemning the minority who turned violent and reminding activists to try to limit physical interactions.

A number of Boris Johnson's government ministers had previously urged protesters to avoid gathering at all for public health reasons, with Home Secretary Priti Patel saying on Saturday: "I would say to those that want to protest, please don't."

Similar protests took place in Edinburgh, Scotland -- and a dramatic scene unfolded in Bristol, southwest England, where activists tore down a statue of 17th century slave owner Edward Colston.

The monument had stood in the city center since 1895 but had become increasingly controversial, with petitions created to demand its removal. On Sunday it was ripped down with ropes to loud cheers from a crowd of demonstrators.

Source: CNN



I wonder why Mr Edward Colston is blamed in the first place!!!;

He was just an employee to a Company namely; ROYAL AFRICAN COMPANY as a sole official slaving company at that time. The company had all blessings to undertake Slave trade from Royal family.

The statue of Edward Colton was erected in the year 1895, it had has lasted for 125 years to date, all these years Royal family had has been seen it as a sign of Honour not only to British but also to Bristol city.

This is not a secret that British empire is made out of blood and bones of black slaves some thing they stealth feel proud of.


The very persons to be blamed together with notorious Edward Colton are Royal family members.
 
Back
Top Bottom