Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

... uarabuni ndiko tunaonekana manyani haswa Mkuu!
 
Wapi umeskia Iran kuna muafrika kabaguliwa kama hivyo? Ndio maana nikakuambia unatamani hilo tukio litokee nchi za kiarabu but now ukweli umekuingia ingawaje unaumia [emoji23][emoji23]
... nimependa jinsi tukio hili la kidhalimu lilivyoweza kuwekwa wazi bila figisufigisu za serikali. Lingetokea China au Iran wala tusingejua kuna kitu kama hicho kimetokea!
Muangalie Ayatullah huyo
 
Ambao Lissu anawaabudu sana mpaka kusema tusicheze na MIGA tutashtakiwa mpaka tufilisike
 

Mtu aliyekuwa anawauza Waafrika Caribbean na Amerika anapewa heshima zote hizi!
 
Labda kuna mabeberu weusi wanafadhili haya maandamano maana sielewi kabisa ni vipi wazungu wawe mstari wa mbele kupinga ubaguzi wa rangi kiasi hiki.
 
... nimependa jinsi tukio hili la kidhalimu lilivyoweza kuwekwa wazi na hatua stahiki kuchukuliwa kwa wahusika bila figisufigisu za serikali. Lingetokea China au Iran wala tusingejua kuna kitu kama hicho kimetokea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Faidikeni namatunda yademokrasia CHINA kawafanya nini [emoji23]

Yaani matatizo mpate nyie halafu mumtaje UCHINA [emoji16][emoji3][emoji2]
 
Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingesumbuka kubishana
 
Ambao Lissu anawaabudu sana mpaka kusema tusicheze na MIGA tutashtakiwa mpaka tufilisike
Nakufananisha na nyapara wa mkoloni wakati wa kudai uhuru.
Hii miga mbona inawatisha kuliko kifiro?
 
Nasikitika sana kwa kutokuielewa point yangu, nilikusudia kuwaongeza washtakiwa ili jamii ijue trend ya uhalifu inawahusu nani na nani.
Hata hawa machifu wa sasa wanatuuza kwa kina "Thornton" wanawaachia madini na kujisifi vioo walivyoachiwa "mabomba ya gas na madreamliner" wakiyaangalia wanacheeeeeka na kututaka tuwapongeze. kumbe wameshatuingiza mkenge!
 
... mbona sioni waarabu nao wakiandamana ili kujikosha? Maana wao ndio hasa walikuwa wanafuata "bidhaa" shambani kuipeleka sokoni; wao hawaguswi na utumwa kwa kuzingatia maelezo yako hapo juu?
ngoja waje wajukuu zao mda si mrefu utapewa majibu
 



I wonder why Mr Edward Colston is blamed in the first place!!!;

He was just an employee to a Company namely; ROYAL AFRICAN COMPANY as a sole official slaving company at that time. The company had all blessings to undertake Slave trade from Royal family.

The statue of Edward Colton was erected in the year 1895, it had has lasted for 125 years to date, all these years Royal family had has been seen it as a sign of Honour not only to British but also to Bristol city.

This is not a secret that British empire is made out of blood and bones of black slaves some thing they stealth feel proud of.


The very persons to be blamed together with notorious Edward Colton are Royal family members.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…