Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

Waarabu waliua Au kuwahasi watumwa ili wasizaliane ndio maana hamna masalia ya utumwa huko arabuni I
 
Vipi kuhusu Benki ya Barclay's ambao ni ndugu wawili wafadhili wakuu wa biashara ya utumwa???ni ajabu ina matawi mengi Africa wakati mtaji na utajiri wao waliupata kupitia biashara ya utumwa???nipo Tayari kusahihishwa.
 
LEO MIMI NDIO NIMEFAHAMU KUMBE WAFANYA BIASHARA HARAM ZA KUUZA BINAADAM BADO WALIKUWA WAKIADHIMISHWA NA MATAIFA YA WAZUNGU. KHKHKHAAA!!!!!!?
 
Kwa mfano biashara ya utumwa ingekuwa inaendekea. Kuna watu afrika wangekuwa wanajitolea kuwa watumwa ulaya kuliko kubaki africa.

Tena kwa wingi sana mpaka wazungu wenyewe wangesema jaman inatosha hatuhitaji tena kwa sasa subirini ngwe nyingine. Watu humu wengi wanajidai kuwasema vibaya wazungu lakini wanalala na kuota lini watapata nafasi ya kwenda Ulaya au Marekani. Kuna unafiki mwingi sana aisee humu.
 

Pata huo ujumbe wewee baguzi la kiarabu
 
Wewe unaeongelea na kutaja neno"ubaguzi" ndio muasisi ubaguzi.maana imeandikwa "kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kilicho jazwa moyoni mwake"
 
Awww
 
Wazungu wako makini sana. Wanapinga unyanyasaji wa mtu mweusi kuliko hata waafrika wenyewe! Mungu awabariki sana hawa jamaa.
Waafrika hatujitambui ndio maana tunabaguliwa.
 
Muarab aliwahasi watu weusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…