Uingereza waanza kujilaumu na kushuku kuwa BREXIT ndio mwanzo wa mdororo wa uchumi wake

Uingereza waanza kujilaumu na kushuku kuwa BREXIT ndio mwanzo wa mdororo wa uchumi wake

Hivi mpaka leo bado tuna hangover ya vita ya Kagera. Inahitaji miaka mingapi kubadili uchumi wa nchi?. Nadhani adui mkubwa wa uchumi wetu ni Ufisaidi na kutokujali:
1. Huduma mbovu ya maji
2. Umeme kukatikakatika
3. Kuachilua rasilimali zetu kuchukuliwa kiholela
Na mengine mengi.
Ukweli hatujapata viongozi wenye maono. Tuache kumsingizia Nyerere. Tuache udhaifu
Umenena fact sana mkuu ...kumsingizia nyerere kwa kila kitu kwa sasa ni hoja zaifu mno....hayo mambo yalishapita tunafanya nn sasa ndo jambo la msingi zaidi....
 
  • Narudia tena kusema: Wazungu wa Ulaya akili zimefifia. Wanawekwa mtu kati na US, wanaigia mazima.
  • Move ya kuindoa EU ilikuwa sahihi, Ila mipango baada ya hapo haikuwa imefanyiwa upembuzi vizuri.
  • Wanakaribia kuona mwanga wanakokotwa kupambana na Urusi huko Ukraine; wanasusia bidhaa za Mrusi hasa msosi, wanalipua bomba, ...
  • Wanapata mshahara wao, watulie
 
Sio kweli labda mwaka 1978 ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mtoto mdogo sana. Uchumi wa Tanzania ulianza kuyumba baada ya kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 lkn baada ya vita 1979 ndio ukafa kabisa hadi leo.
  • Tuache visigizio dhaifu! Vita, magonjwa, ....vilikuwako tangu na tangu.
  • Mataifa yamepigana, yanapigana na yataebdelea kupigana; Marika mapambano hayo kuna kupoteza na kupatia. Hata walioshindwa wanainuka, wanaimarika kutembea na kukimbia.
  • Ikiwa taifa lina taasisi imara na zenye watu sahihi; yakitokea mawimbi halisambaratiki.
  • Je unaweza elezea mchango wa ubinafsishaji uliofanywa 'kizembe' miaka ya 1990? Vp kuhusu ufisadi na madeni yasiyo na tathmini ya kweli?
 
Back
Top Bottom