SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Wewe mwanamke niacheKwa hio ndio eeh umejileta kwa raraa reree akupigie raraa reree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanamke niacheKwa hio ndio eeh umejileta kwa raraa reree akupigie raraa reree
Sina kazi kwako 🎤raraa reree nijibu
Siku 1 utaacha ngoja uendelee hivyo Ila siku 1 utaacha na itakua funzo kwako na kwa mabinti wenye tabia km zako kuwageuza Jinsia wanaume na kuwaita wanawake mafaili yako ninayoWewe mwanamke niache
Acha ujingaGonorrhea siyo kisonono
Wengine ujinga ndio mtaji waoAcha ujinga
safi sana, wabaki huko hukodronedrake chama lako litapata wanachama.
hizi siku za mwisho ni kumrudia muumba wetu kwa toba maana vyote tunavyoviona vimeandikwa kwenye vitabu vitakatifu ya kuwa magonjwa yasiyopona ndo kama ilo gonjwa la monkeypoxkuna virusi vya nyani navyo yaani tabu tupu huko congo watu 500 wamefariki kwa ugonjwa wa monkeypox ...Duniani tabu tupu .
na pia huu ugonjwa unasambaa kwa haraka sana duniani ni tabu tupu tumwombe Mungu sanakuna virusi vya nyani navyo yaani tabu tupu huko congo watu 500 wamefariki kwa ugonjwa wa monkeypox ...Duniani tabu tupu .
Hii issue hata bongo kuna kipindi ilitangazwa kuwepo na cases za gono ambazo haziponi, kiufupi dawa zinadundaWapenda ngono hii ni habari mbaya sana kwao
Sijaelewa unaringa na upo arusha nitakuitia waduduSina kazi kwako 🎤
Nimejileta kivipi ili iwejeKwa hio ndio eeh umejileta kwa raraa reree akupigie raraa reree