johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeuelewa uzi??Propaganda hizo hata huko pia haiwezekani labda kama wanataka kufanya show kama hivyo ili kuwadanganya watu, Malkia Elizabeth hajawahi kufunga mkanda na wala hakuwahi na leseni ya udereva na alikuwa anaedesha gari!
Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Africa kwa ujumla haiwezekani
Hapa hata katibu tarafa haiwezekani labda kama ameua!Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Africa kwa ujumla haiwezekani
Mbona Boris Johnson alipigwa fine kwa kufanya sherehe wakati wa covid na akalipa!Propaganda hizo hata huko pia haiwezekani labda kama wanataka kufanya show kama hivyo ili kuwadanganya watu, Malkia Elizabeth hajawahi kufunga mkanda na wala hakuwahi na leseni ya udereva na alikuwa anaedesha gari!
Wewe kila kitu ni politics! Badilika na fuata sheria!Politics ni ujinga,maana kuamini uigizaji na usanii kama huu utahitaji kwanza ujitoe nati kwenye ubongo wako.
Muongo wewe. Muulize Raisi wetu yaliyomkuta. Au yaliyomkuta marehemu mke wa Hayati Waziri Mahiga???Hapa hata katibu tarafa haiwezekani labda kama ameua!
Magufuli aliharibu sana hii nchi.Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Africa kwa ujumla haiwezekani
Kama aliweza fukuza wenye vyeti feki akamuacha bashite nakubaliana na wewe ilikua inawezekana.Kwa Magufuli ilikuwa inawezekana Ila kwa mama ndio haiwezekani..
Alisikika msukule mmoja wa jiwe akisema
Kufanya Sherehe na Kuendesha gari bila mkanda kuna uhusiano gani?Mbona Boris Johnson alipigwa fine kwa kufanya sherehe wakati wa covid na akalipa!
Hata Huko kwa Ma-Komunist China na Ma-Fashisti Urusi hiyo kitu hajwezekani. Huko China na Urusi Marais wanaabudiwa Kama miungu watu.Hawana tofauti na Afrika kimfumo.Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani
Nyie kila kitu proganda yani mpo negative always khaa!!!Propaganda hizo hata huko pia haiwezekani labda kama wanataka kufanya show kama hivyo ili kuwadanganya watu, Malkia Elizabeth hajawahi kufunga mkanda na wala hakuwahi na leseni ya udereva na alikuwa anaedesha gari!
Wavaa kobasi hao wanapinga Kila kitu.Nyie kila kitu proganda yani mpo negative always khaa!!!