Sasa chuki zake binafsi na za kijinga kwa kidume Putin rasmi anaenda kuzifanyia chooniBoris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu
Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea...
Ni upuuzi na uphaller wa kiwango cha juu kumpa Urusi credit katika hili.Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Litaathir alikuwa mstari wa mbele Sana kumkabili kibabu PutinHalwezi kuathiri NATO..
😀😀😀😀sijui leo Vladimr Putin atakavyoinywa Vladimir VodkaSasa chuki zake binafsi na za kijinga kwa kidume Putin rasmi anaenda kuzifanyia chooni
Uk sio Tanzania, hata ajaye lazima atafuata sera za nchi yake na za kimataifa kama kawaida.Ila Kama chama chake kitashinda kitafata mrengo wake so sad kwa timu NATO
Winter inapiga hodi Europe, kaa mkao wa kula wasipo badilika ktk kumwekea Russia sanctions kwenye gesi na mafuta, wengi watang'okaNi upuuzi na uphaller wa kiwango cha juu kumpa Urusi credit katika hili.
Huyu Boris ameanza kupitia misuko suko kuanzia kipindi cha korona hili ni hitimisho tu...
Rejea covid 19 inavyotesa taifa wala hawajali.Hivi ndio inavyotakiwa katika nchi za kidemokrasia, unaachia ngazi mara moja ikiwa presha za kisiasa zimekuzidi nguvu. Kwa Tanzania hata mwenyekiti wa kijiji huwezi muona akiwajibika kuachia ngapi ikiwa hatakiwi na wananchi wake.
Afrika hatuna viongozi bali tuna watawala....Huku kwetu hata ukutwe na kila ithibati inayoweza halalisha kuachia madaraka bado mtu atapindisha pindisha na maisha yanaendelea
Sio kweli acha siasa za ccmVita imemwondoa Boris Johnson.
Huku kwetu wanakomaa tu mpaka lita ya diesel itafika elfu 10 hakuna wa kuwajibika.
Je, akichaguliwa mwingine anaweza kubadilisha chochote kwenye mfumuko wa bei?
Hakuna uhusiano wowote na Russia mkuu, mbona News ziko wazi, BBC imeweka wazi mambo matano yaliyomwondoa Waziri Mkuu,hata serikali itayaoundwa haibadili chochote msimamo wa UK kuhusu UkraineNimeamini Russia sio tegeta
Hilo najua lakin kumbuka Boris Johnson kuna vitu amefanya bila woga yeye ndo wakwanza kumpa Ukraine silaha n kiongoz wa nchi mkubwa kwenda Ukraine tena kukiwa na Vita so kwa NATO alikuwa mtu muhimu ukizingatia biti la Putin pia yeye alichangia kumfurusha abromivicUk sio Tanzania, hata ajaye lazima atafuata sera za nchi yake na za kimataifa kama kawaida.
Wajibu wa uk kwa NATO sio matakwa ya mtu mmoja wala chama bali nchi.
Amebadilishwa mtu na sio sera.
Tuhuma nyungi na mbaya zilizomgharimu ni tabia yake binafsi.
Urusi wamemfanyia zengwe mpaka kamwagwa mavi bado Biden na Macron [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635]Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Ni upuuzi na uphaller wa kiwango cha juu kumpa Urusi credit katika hili.
Huyu Boris ameanza kupitia misuko suko kuanzia kipindi cha korona hili ni hitimisho tu.
Kwa taarifa yako toka mwaka 1750 ni waziziri mkui mmoja pekee ameongoza kwa miaka 20 akifuatiwa na Thatcher kwa miaka 11, Blair kwa 10 na waliosalia ni miaka 6, 5, 4, 3, 2, 1 na wengine ni siku chache tu.
Tangu cheo cha waziri mkuu kianze Uingereza imrkuwa na zaidi ya Ma waziri wakuu zaidi ya 77 na huwa wanakaa kwa muda mfupi.
Hii tabia ya kusifia kila ujinga na kumhusisha Putin ni akili ndogo za ccm ambazo mtu hata akila nyama anamsifia Samia.
Ukimtoa muhesimiwa Mbowe na Lissu, wanasiasa wotee Tanzania wameingia kwenye siasa kwa sababu ya NJAA kali, kujiuzuru hakutawezekana kamweRejea covid 19 inavyotesa taifa wala hawajali.
Ndugai alivyosigina katiba hakuna aliyejali.
Magufuli alitawala kama genge la wanyang'anyi hakuna aliyejali.
Makonda na Sabaya wakageuka maharamia..nani alijali?
Tena wanatetewa mchana kweupe.
Nchi hii ukiwaza sana utakuwa kichaa majitu hayana akili kabisa na yanasifia upumbavu.