Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Urusi sio DRC Congo.
Dunia yote tutaita maji mmma
Sidhani kama ina uhusiano na mambo ya urusi hii ni shida wabongo hatufuatilii taarifa kwa kina bali tunataka taarifa ziwe tunavyotaka sisi.

Borris alikuwa na scandal ya kuhudhuria sherehe za mitaani wakati ule COVID-19 imepamba moto akavunja sheria aliyoitamka mwenyewe ya jamii za waingereza kutohudhuria sherehe yoyote yeye akaenda tena sherehe zaidi ya moja na ilishapigwa mpaka kura bungeni kabla ya hii vita wamng’oe akashinda ila wenzetu siyo sisi rangi ya mkaa kung‘ang’ana na madaraka wao wakiona sehemu hawatakiwi wanaachia wanaoonekana wanafaa na ndicho alichofanya.
 
Watanzania wengi lugha ya kiingereza inawatesa sana mpaka wanafikiria sababu zilizopelekea Boris Johnson kujiuzulu ni vita vya Russia na Ukraine wakati Uingereza haipigani hivyo vita.
Hio vita ni kama imechochea jamaa kuchukiwa, huku yeye akidhani kuchochea hio vita ingeweza kusaidia kutuliza hali mbaya waliokua nayo ndani ya nchi,,,,,uingereza kuna bomu kubwa linafukuta sema tu kwasababu ya hii vita wanaficha mengi......Scotland inataka ijitenge iwe nchi huru,, kwenye issue yao ya brexit wameshaanza kugombana na wenzao wa EU sababu ya sheria zao huko Ireland.......mambo ndo kwanza yanaanza , na Putin lazima aifanye hii vita iwe ndefu ili kuwavuruga zaidi pole pole
 
Watanzania wengi lugha ya kiingereza inawatesa sana mpaka wanafikiria sababu zilizopelekea Boris Johnson kujiuzulu ni vita vya Russia na Ukraine wakati Uingereza haipigani hivyo vita.
Wananchi gani hao wa uingereza uliowasikia maoni yao kama sio viongozi mbalimbali? Ulitegemea hao viongozi watoe maoni ya namna gani?
 
Watanzania mnatia kichechefu kwa ushabiki wa hovyo, mbona waingereza wenyewe wana maoni tofauti kabisa na ninyi mashibiki maandazi. Elimu yetu ichunguzwe.
Ni ngumu mtu kumchagulia mapokeo na hasa kutoa maoni baada ya matokeo

kinachoendelea hapa gari la kivita limepata hitirafu na maadui kuteketea kufurahia hata kama hatujachangia katika hitirafu hiyo ni jukumu letu


namuwaza zelesii tu hapa kapokeaje taarifa hizi.

kuhusu elimu hilo sio jukumu langu. kama ina makosa ni kuihurumia tuu bas
 
Kuwa challenged na maoni ya mihemko ni jambo la kawaida ila kuna wakati inafika mahala ushabiki unaenda overboard. Kujiudhulu kwa viongozi wakuu inchini uingereza ni jambo la kawaida sana na imetokea mara nyingi. Issue za ukraine sio personal wenzetu hawana huo ujinga lazima bunge likae kujadili kuona kama inafaa. Nenda kupitie maoni ya wahusika wenyewe utajionea utofauti na Sisi tunaojifanya wajuaji.
 
Hamna kitu hapo..watakua wanaona aibu kuwa wawazi tu...maisha yamekuwa magumu, gharama za maisha zimepanda, mafuta hali ngumu, korona yenyewe..halafu yeye yuko bizy na UKRAINE.....wamemla kichwa kistaarabu hao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…