Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Hivi ndio inavyotakiwa katika nchi za kidemokrasia, unaachia ngazi mara moja ikiwa presha za kisiasa zimekuzidi nguvu. Kwa Tanzania hata mwenyekiti wa kijiji huwezi muona akiwajibika kuachia ngapi ikiwa hatakiwi na wananchi wake.
[emoji23][emoji23][emoji1787] itakuwa mwisho wa dunia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi lugha ya kiingereza inawatesa sana mpaka wanafikiria sababu zilizopelekea Boris Johnson kujiuzulu ni vita vya Russia na Ukraine wakati Uingereza haipigani hivyo vita.
Kama huna uwezo wa kufikiria lazima useme hivyo huoni uchumi umetikisika,mfumuko wa bei,gesi imepanda bei.uingereza haipigani hiyo Vita lakini inatumia resources zake nyingi mpaka nchi inafilisika proNato mnafikiria Kwa nini?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Sie hatuangalii alikojikwalia, tunaangalia alikojibwaga. Mshikwa na ngozi...
 
Litaathir alikuwa mstari wa mbele Sana kumkabili kibabu Putin
Asisahau kwamba ndiye kiongozi pekee mkubwa aliyeitembelea Ukraine kwenye mstari wa mbele vitani. Ikumbukwe kwamba Boris Johnson ana cheo kingine cha Waziri Mkuu, au tuseme Kiranja Mkuu, wa NATO. Rais JB, PM ni BJ.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sijui leo Vladimr Putin atakavyoinywa Vladimir Vodka

Mshanaaaaaaaaaaaaaa......
Nasikia Putin kagawa zawadi ya Iskander na Anti-Missiles ^tar-two^ ^tar-two^ kwa kila askari wake, zilikagawiwe huko Ukraine kwa mercenaries 10,000 wa UK ambao bado wangali hai.
 
Usichokijua ni kwamba UK raia wengi sana wanavichukia vita vya Ukraine. Na msukumo mkubwa wa kuhamasisha vita hivi ulitokana na ushawishi wa Boris Johnson--bila kutaja unufaikaji mkubwa ambao amejipatia yeye binafsi.

Wasichotaka kukwambia Waingereza ni kwamba hawapendi Marekani na dunia ijue sababu halisi (kuitumbikiza UK katika vita proxy vya Ukraine na kupoteza fedha, mali, silaha, na uchumi kuporomoka)--kwa sababu wanaamini ikiwekwa public, ni sawa na kumpatia Putin ushindi wa mezani.

In short, Putin ndiye sababu kubwa ya kung'olewa kwa Boris Johnson. Mengine yaliyobaki ni nyongeza tu.
 
Mbona unateseka unajieleza saana kubali mwamba Putin ndo mume wenu

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…