Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Hizo tabia ni zipi?
 
Hakuna uhusiano wowote na Russia mkuu, mbona News ziko wazi, BBC imeweka wazi mambo matano yaliyomwondoa Waziri Mkuu,hata serikali itayaoundwa haibadili chochote msimamo wa UK kuhusu Ukraine
Usisikilize sana ^News^ for the sake of it. Tumia akili yako pia. Msoga (mkazi wa Msoga), alishakupeni hekima: ^Akili za kuambiwa...^
 
Labda wewe ndio ufatilii,kwa hiyo swala LA COVID la miezi 6 liliopita ndio limafanya ajiuzulu au sio??
 
Ma nchi yanatotawaliwa kidikteta yanamshangaa sana Boris...una jeshi una kila kitu unawasikiliza wajinga wapiga kelele badala ya kunyoosha nchi..

Hata sisi tumo kwemye hizi nchi tukiamini kwambq kuipinga CCM ni kupinga dola...na kuukosoa utawala ulioko madarakani ni sawa na kuikosoa Tanzania.
 
Basi kama sio issue hizo za Ukraine,tupe hizo sababu unazozifahamu wewe.
 
SSawa lakn kwa sasa na yeye yuko wapi, ulitaka waseme kutokana na kuwa busy na vita ya ukraine tunamwondoa? Ugumu wa maisha ulipelekewa na kutokuwa na mafuta na Gesi ndio jambo kubwa lililomtoa Boris ikulu kama umekwenda shule zile short terms na long terms ndio tunazungumzia hapa
 
I can't agree more! Juzi kwenye mkutano wa Gunia7 kule Bavaria, Boris Johnson aliapa: ^We've to give Putin hard time!^ Naona, kwa maneno ya somebody humu, uchawi wake umemgeukia mwenyewe!
 
Watanzania wengi lugha ya kiingereza inawatesa sana mpaka wanafikiria sababu zilizopelekea Boris Johnson kujiuzulu ni vita vya Russia na Ukraine wakati Uingereza haipigani hivyo vita.
UTakua mpuuz wa mwisho kusema uingereza haishiriki hiyo Vita,

Unachopaswa kujua uingereza ndio mshiriki kindakindaki was hi vitabkuanzia kutoa sialaha hadi kuongoza mgomo wa nchi za ulaya kususia bidhaa za Russia ikiwemo mbolea,mafuta na gesi.

Hali Hii imesababisha kuadimika kwa bidhaa hizo muhimu kuendeshea uchumi wa nchi, matokeo yake Ni mfumuko wa Bei.

Mfumuko wa Bei unapokua mkubwa maisha ya watu hasa wa kipato Cha chini yanayumba mno. Hali Hii Lazima ilete sintofahamu kwa wananchi wa Kawaida.

Ukzingatia waingereza wanaona hii Vita hata haiwahusu sana, Ni kiherehere Cha Boris mwenyewe kujipendekeza tu kwa USA huku maisha yao yanazd kua magumu .

Hali hii lazima lawama ziende kwa chama,
Na chama kikiona hakikuelewi lazima kikulazimishe ujiuzulu.
 
Hamna kitu hapo..watakua wanaona aibu kuwa wawazi tu...maisha yamekuwa magumu, gharama za maisha zimepanda, mafuta hali ngumu, korona yenyewe..halafu yeye yuko bizy na UKRAINE.....wamemla kichwa kistaarabu hao...
Maisha ya waingereza yamekua magumu,
Badala ya kuwaza anayawekaje sawa, Yuko bize na vikao vyao Ukraine akiwazia jinsi gani anamkomoa Putin[emoji16]
 
kuondoka kwa PM hakuna uhusiano ma Ukraine...

misimamo mingi ya Chama hicho kuhusu Ukraine usitegemee kubadilika.
Ukweli mchungu na ambao usingependa kuusikia ni kwamba vita vya Ukraine havitapita hivihivi. Na kweli vimetia kwa Boris Johnson. Usisahahu msemo wa ^Kamba hukatikia pabovu!^ That's an immediate cause.

Hata kwenye WW2, Sarajevo Assassination, ilikuwa immediate cause. Anachofanya Putin ni divide and rule.
 
Wafuasi wa AMERICANATO daima wanaenda kinyume na ukweli. Ukiutaka ukweli, angali wanakoelekea, wewe nenda upande mwingine.
 
Uyu jamaa anazidi kuuchochea TU Moto[emoji4]
 
Ulimwengu wa mtandao si kitu kizuri--mtu unashambuliwa front and back. Walichochea vita Ukraine wakidhani wao wako salama. Pathetic! Bado yule Mmarekani.
 
Pro NATO hii Ni aibu Kubwa Sana kwenu,
Na bado hata winter hatujafika, tutaheshimiana TU[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…