Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu

Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea...
Hongera kwa utumishi wake seeikalini. Wenzetu issues ndogo gov inaanguka.
 
Nyie ujinga ndio unawasumbua kwa sababu ya itikadi ya kidini, sasa subiri uone kama waziri mkuu ajaye atageuka na kuiunga mkono Russia ndio utakubaliana na mimi kwamba nyie ni wajinga.
Dini hapo inaingiaje? Kwani wanaoshabikia NATO ni dini gani na wanaoshabikia Russia ni dini gani?

Uk kubaki kwenye msimamo wake hakuna tatizo ktk hilo. Kinachofurahisha hapa ni kwamba Johnson alikuwa big vuvuzela wa NATO, amechinjwa na amekufa kifo cha gafla sana
 
Wengi wanapenda siasa za Jiwe na Putin anamuakisi.
 
Foreign policy zinabaki vile vile regardless ya nani anashika hatamu elewa hilo. Ndo hizi nchi zinavyoendeshwa.

PMs wa UK toka Gordon Brown, David Cameron, Theresa May, na sasa Boris Johnson wanajiuzulu kila siku ni fashion tu nothing more to it.

Unamaanisha it doesn’t matter nani amekalia kiti?

Sasa wanachagua ili iweje?

Kwahiyo mfano kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ilikua ni official foreign policy ya Marekani na sio kama palikua na influence ya Trump as a person?

Mbona kaingia huyo babu wanajadiliana kuurudia?

Haujui ama unajitia tu hamnazo?
 
Putin supported the initiative to equate the status of military personnel of the LPR and DPR with Russian

..which means, soldiers of the LPR and DPR will receive the same benefits as the „RAF“, including covering medical needs, rehabilitation etc.
 
Labda asili yake ya Uturuki.
 
Kosa kubwa la Boris Johnson ni kumtetea WAZIRI wake aliyemshika makalio mwenzake.

Alitumia nguvu nyingi kumtetea, badae alipoona hali imekuwa mbaya baada ya kubanwa akakubali kuwa hakumfukuza huyo waziri japo alijua.

Democrats wakalibebea bango kuwa ni Kiongozi mwongo na hasiyeaminika. Wasaidizi wake zaidi ya 50 wakiwemo mawaziri wake wengi wakajiuzulu kupinga mfumo wake wa kiuongozi.

Jana asbh chama chake cha Conservative kikagawanyika, akaona isiwe tabu akabwaga manyanga. JAMANI SABABU SIO VITA VYA UKRAINE NA URUSI.
 
Yaani wewe mtu wa dunia ya 3 ujue hizo sababu alafu waingereza wenyewe wasizijue.aise hizi akili za hivi mnazitoa wapi.
 
Mbona unatumia nguvu nyingi kumtetea? Au uligawana naye pesa za msaada wa Ukraine? Ukweli ni kwamba Russia amechangia kuondoshwa kwake 99.99% Mengine ni nyongeza tu.
 
Yaani wewe mtu wa dunia ya 3 ujue hizo sababu alafu waingereza wenyewe wasizijue.aise hizi akili za hivi mnazitoa wapi.
Sijue hata unaposema ^dunia ya 3^ na ^Waingereza,^ una maana gani. Poleni sana. Putin keshafanya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…