Unacheka sababu wewe ni mnywa kahawa tu hujui chochote kuhusu jeshi la Uk wala la Russia zaidi ya kupata porojo za mitandaoni.Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
Ukrainians are doing itWanajeshi wa UK hawachelewi kuandama kumshinikisha huyu jeneral ajiuzulu..
Hakuna hata nchi chini ya hii sayari inayo weza kupambana Russia kwenye ulingo wa viti..
Vita ni mbaya sana tuachen ushabiki maandaz.
Kwenye top 10 ya mataifa yenye nguvu kijeshi UK inazidiwa hata na South Korea. Ni moja ya mataifa yenye nguvu ila kwa Russia, UK ni mdogo sana. Russia kijeshi inalinganishwa na USA.Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Kwamba Russia ndo kaweza ku retain nguvu za me za kijeshi tangu WW 2?UK zaman sio sasa hawezi kwenda head to head hata na Turkey mna mawazo ya enzi za kikoloni
Was***ge tu Hao hawana jipya Kwa sasa Putin Kesha waambia wafunge Midomo kama ni wanaume kweli wamvamie kama ambavyo walivyo Fanya Kwa Saddam na Gadaffi tuone ,Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Mwambie Huyo 🤣🤣🤣🤣Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
mrembo nifah lini umekuwa mrusi?Mimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao.
Na wasiwasi umenitoka baada ya chuma kimoja tu cha Oreshnik kudondoka dunia nzima imesimama, hawa watu walijiandaa vyema na wanachokifanya.
Urusi ndo nchi pekee ninayoweza kusimama mbele kuipigania vitani,...WWW3 tukutane RussiaMimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao.
Na wasiwasi umenitoka baada ya chuma kimoja tu cha Oreshnik kudondoka dunia nzima imesimama, hawa watu walijiandaa vyema na wanachokifanya.
Kwamba Russia ndo kaweza ku retain nguvu za me za kijeshi tangu WW 2?
Wana nini cha maana hai mkia wa USA tuuHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Malkia ana nguvu gani, labda ileWeee weeeh weeeee mama mkanye mwanao katika mistake kubwa Putin atafanya ni kuibeep Uk. Ivi Putin ataanzajeee anzage kuivamia uk, nchi ina malkia kama hajuii nguvu ya malkia basi ajaribu.
Vita ni pesa uchumi wa Urusi unaingia mara 2 kwa uchumi wa Britain, acheni kuota ndoto, huyu General wa UK sio mpumbavu kama hapo kijiweni mtogole eti hajui Urusi ina uwezo gani akachimba mkwara tu km kimbwa koko cha hapo jalalani kwenu! Mashabiki wa vita mnadhani ni yanga na simba hii
Wewe hujui chochote unaropoka historia ya wapui hiyo? Sio kweli usidanganye watuKwanza uwe unaacha aya ukiandika. Kisha wewe na wasiojua wenzio mzingatie kwamba Soviet Union iliingia mkataba wa kutopigana na Ujerumani (Molotov-Ribbentrop Pact) wa mwaka 1939 kuepusha kupigana ndani ya miaka 10 inayofuatia.
Soviet Union au Urusi kama underdog akashirikiana na Ujerumani kuivamia Poland. Wakaigawana, mwaka huo Ujerumani ikavamia Belgium na ndipo Uingereza ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. Ujerumani ilikuwa inaiogopa sana Uingereza ila ikalazimika iingie vitani. Walipigana miaka mitano ila huo udogo wa Uingereza mnaosema hakuna mwanajeshi wa Ujerumani hata mmoja alitia mguu Uingereza. Hiyo ndio Britain usiyoijua.
Uingereza ikaingia front kupigana kuikomboa Ufaransa na Belgium, baadae Marekani akaja. Miaka hiyo Urusi ikaivamia Finland ikateseka kushinda vita, Ujerumani baada ya kuona Warusi ni wachovu ikawavamia ili iwashinde faster faster maana Waingereza hawapigiki. Then majeshi ya Ujerumani yakaingia Urusi hadi kidogo kuichukua Moscow walifika within 20km, sio mtego wa Urusi ni uwezo mbovu. Warusi zaidi ya 20 million walikufa unasemaje ni mtego.
Allies wakiongozwa na Marekani wakatoa msaada mkubwa sana wa ndegevita, chakula, mafuta, vifaru, malori kwa Soviets kupigana ili wasishindwe na Ujerumani. Wakati huo wao wakipigana Western front. Bila msaada wa allies Urusi alikuwa mnyonge mbele ya Ujerumani ile.
Urusi ilivamiwa na Ujerumani hivyo ilibidi ipigane haukuwa msaada ilikuwa lazima, Uingereza hata haikuvamiwa na iliombwa na Ujerumani haitaki shida ila ikaingia nayo vitani. Urusi ni coward aliyekumbatia wahuni kwenye Molotov-Ribbentrop Pact ili wasimpige, na wakampiga akaja saidiwa na wenye nia njema.
Sawa jenerali wa kwa mpalange we unajua sna vita kuliko General wa Britain, yaisheKama uchumi unapigana basi Japani angewapiga wengi. Vita ni science, waarabu wana mihela lakini uwanja wa vita sio wao
Wewe hujui chochote unaropoka historia ya wapui hiyo? Sio kweli usidanganye watu