Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Mwambie Huyo 🤣🤣🤣🤣

Hao wame karili maisha muingereza now days hata akisimama peke yake na Iran lazima jasho la kwapa limtoke inshort uingereza anajua kuwa nyuma yake ana backup ya USA ndio maana huwa USA anapotoa kauli yoyote na yeye anajifanya kufuata mkumbo ila kiuhalisia Hana uwezo wakupigana na Russia kwanza hata katika zile top 5 za nchi zenye uwezo wa Mkubwa wa kivita kwa sasa hayupo aache mbwembwe
Kwa tech ilipofika kurahisisha mambo kama unavyorahisisha hapa si salama, uzuri ni kuwa hata hao maadui UK, USA, Urusi na wengine wanaenda kwa step si kwa hizi akili zako.

Vita vya tatu vinapaswa kuogopwa, Uhalisia ni kuwa haijulikani nani ana nini kwa 100%, Urusi juzi tu kasuprise watu na bomu lake, vita ni field sio propaganda kama hivi unavyorahisisha mambo.

Wakati wewe unaipima UK kwa idadi ya jeshi na mabomu ukute alishahama huko yupo kwenye virus za maabara, zikitupwa nchini kwako mnaugua mnakufa.
 
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.

Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.

Hata roma imeshawahi kutawala dunia.

Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.

Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.

Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Tatizo vijana wa bongo. wanaleta mahaba katika maswala ambayo ni pure facts". Halafu wapo outdated vibaya mno. Materila wanayosoma ni ya karne ya 19 nafikiri.
 
Mkuu, nimekuona tokea jana nikaamua kukaa kimya kwa vile ulisema unaniheshimu…

Mimi sipo kishabiki, nina maslahi ya moja kwa moja kwenye huu mgogoro. Mafanikio yoyote ya Urusi ni faraja kwangu, pole kwa kukwazika.
Nisamehe mkuu. Endelea na ushabiki wako. Ila ipo siku tutazungumza lugha moja hapa hapa
 
Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.

View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .

What a joke 😂😂
Kilichokuchekesha ni nini?
Unaifaham vizuri UK au umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe..
Muda wote UK imeshiriki kwenye vita mbalimbali Wana experience ya kutosha kwenye medani,acha utahira wako.
 
Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Madogo wanaandika kishabiki sana hawajui vita. Na hawaifahamu UK. Wanadhani UK ni kama Iran. Sasa wajiulize UK amesema hivyo Russia atafanyaje sasa.
 
Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takataka
 
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.

Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.

Hata roma imeshawahi kutawala dunia.

Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.

Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.

Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.
Climatic condition ndiyo ilikuwa shida na si vinginevyo..
 
Kilichokuchekesha ni nini?
Unaifaham vizuri UK au umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe..
Muda wote UK imeshiriki kwenye vita mbalimbali Wana experience ya kutosha kwenye medani,acha utahira wako.
Madogo wa miaka ya 2000s hawa . Hawajielewi wanafikiria vita ni kama match ya Simba na Yanga. Hawaifaham UK. na wanapoona UK ipo kimya haifanyi show off ya silaha wanadhani ni wanyonge
 
Kilichokuchekesha ni nini?
Unaifaham vizuri UK au umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe..
Muda wote UK imeshiriki kwenye vita mbalimbali Wana experience ya kutosha kwenye medani,acha utahira wako.
Sasa mbona Hitler mjerumani alipita nao ila akaja kumshindwa Urusi kama kweli hio UK ni wababe,,,,,hao ubabe wao ni zile enzi za bunduki magobole na meli zao zile za mbao
 
Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.
Climatic condition ndiyo ilikuwa shida na si vinginevyo..
Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?
 
Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takataka
Dogo unajidanganya sana. Nyie kizazi cha 2000s hamuifahamu UK. Msione haioneshi silaha zake au inanyamaza mkadhani ni mchekea. Shauri zenu madogo.
 
Enzi hizo sio sasa,,,,, na hao waliwekeza sana kwenye teknolojia ila manpower kwa sasa wanayo ndogo sana UK ya sasa bila marekani ni takataka
Kila taifa na uwezo wake, unataka kuniambia US ha benefit militarily from UK?
 
Dogo unajidanganya sana. Nyie kizazi cha 2000s hamuifahamu UK. Msione haioneshi silaha zake au inanyamaza mkadhani ni mchekea. Shauri zenu madogo.
Nyie muvi ndo zimewaharibu UK kwa urusi bila ushirika na NATO hana kitu,, Hollywood imewaharibu nyie makubwa jinga mnadhani kikinuka sahivi atatokea james bond huko UK
 
Kila taifa na uwezo wake, unataka kuniambia US ha benefit militarily from UK?
Hao wote wanamtegemea US kijeshi,,,,US anafaidika nao kiuchumi,, ndo maana Trump alipowaambia watoe michango sawa NATO wakawa wananuna, sababu kwa asilimia kubwa US ndio NATO yenyewe bila US hakuna NATO
 
Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?
Soma Historia dogo,US alichokifanya Hiroshima na Nagasaki ndicho kilichowafanya Wajerumani wakate pumzi..lakini US hawakwenda direct kuwasaidia Urusi huko kwao...
 
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.

Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.

Hata roma imeshawahi kutawala dunia.

Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.

Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.

Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf Hitler.
... yaani hawa jamaa ndo wale waliokua wakitarajia Tyson ashinde lile pambano la juzijuzi! 😅
1732346741835.png
 
Soma Historia dogo,US alichokifanya Hiroshima na Nagasaki ndicho kilichowafanya Wajerumani wakate pumzi..lakini US hawakwenda direct kuwasaidia Urusi huko kwao...
Alikata pumzi mjapan sio mjerumani,,,sema tu ni kwamba mjerumani alipoteza mshirika,,,hio front ya Nagasaki haikua ya mjerumani, mjerumani alifocus kuibeba ulaya yote na alishafanikiwa akaja kushindwa alipofika urusi.......na Urusi hana historia hio tu,,,kama unamfahamu Napoleon Bonaparte nae alikichafua sana ulaya ila ubabe wake ukaenda kuishia alipoingia urusi,,........kwenye medani za kivita Urusi ana historia kubwa na ubabe mwingi kuliko nchi yeyote ile ya NATO ,sema wengi hawajui sababu Urusi haina propaganda nyingi kama nchi za magharibi na hawakua na historia ya kwenda kuanzisha ugomvi kwenye nchi za wenzao zaidi ukimchokoza na ukaingilia mambo yake hapo ndo anapoamka tofauti na nchi za magharibi zenye tabia za kigoloko
 
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.

Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.

Hata roma imeshawahi kutawala dunia.

Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.

Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.

Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Hawajui hao,,,,.propaganda za Hollywood zimewaharibu
 
Mbona huyo US hakuweza kuwasaidia UK, France na mabeste zake wengine ulaya wasisombwe na Hitler, ila ndo akamsaidia urusi?
Wewe hujui military history vizuri..
Urusi ilianza kuwa vizuri Militarily in a Post WWII lakini si kabla ya hapo..na hyo ni kwasababu mataifa ya Ulaya yalishaharibiwa vibaya kiuchumi kwahiyo yakawa na madeni makubwa,the same applies to US that was a creditor in a Post WWII kwahiyo ikaifanya US iwe na nguvu sana coz yenyewe na Urusi hazikuumia sana kwenye vita..
Soma Historia acha ushabiki maandazi
 
Unajuwa GDP isikudanganye unaweza kuwa na kinchi kama Qatar ukaambiwa tajiri number one lakini unagawa na population ya watu nchi haina hata watu million. Hata ukitaka number hizo UK number 7 na Russia 11 kijeshi Russia ana rank nyuma ya USA ila UK ina watu kama milion 70 russia wanagonga 150 huko ki size UK inaingia mara 70 ndani ya Russia.
Hujui hesabu. Tuliza mshono
Inaingia mara 70. Hesabu hamjui kujifanya wachambuzi wa mambo
 
Back
Top Bottom