Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kwa tech ilipofika kurahisisha mambo kama unavyorahisisha hapa si salama, uzuri ni kuwa hata hao maadui UK, USA, Urusi na wengine wanaenda kwa step si kwa hizi akili zako.Mwambie Huyo 🤣🤣🤣🤣
Hao wame karili maisha muingereza now days hata akisimama peke yake na Iran lazima jasho la kwapa limtoke inshort uingereza anajua kuwa nyuma yake ana backup ya USA ndio maana huwa USA anapotoa kauli yoyote na yeye anajifanya kufuata mkumbo ila kiuhalisia Hana uwezo wakupigana na Russia kwanza hata katika zile top 5 za nchi zenye uwezo wa Mkubwa wa kivita kwa sasa hayupo aache mbwembwe
Vita vya tatu vinapaswa kuogopwa, Uhalisia ni kuwa haijulikani nani ana nini kwa 100%, Urusi juzi tu kasuprise watu na bomu lake, vita ni field sio propaganda kama hivi unavyorahisisha mambo.
Wakati wewe unaipima UK kwa idadi ya jeshi na mabomu ukute alishahama huko yupo kwenye virus za maabara, zikitupwa nchini kwako mnaugua mnakufa.