Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ana historia ya ubabe wa vita kabla hata ya ww2 ,,,hio ww2 ilileta hio USSR ila hata kabla ya hapo mrusi ulaya kawanyoosha sana wababe,,,,,,huyo Napoleon alikuwepo kabla ya WW2 na alitulizwa na mrusi.......hao UK ,Ufaransa na Mjerumani kwenye historia wamesumbuana wenyewe sana huko ulaya ila mara nyingi walipoelekea urusi walitulizwa,,,,na ndo maana hadi leo kwa Ulaya mrusi ndo anaonekana threat kubwa kwa wamagharibi kuliko nchi yeyote ile sababu wanaijua historia yake na watu wake wapojeWewe hujui military history vizuri..
Urusi ilianza kuwa vizuri Militarily in a Post WWII lakini si kabla ya hapo..na hyo ni kwasababu mataifa ya Ulaya yalishaharibiwa vibaya kiuchumi kwahiyo yakawa na madeni makubwa,the same applies to US that was a creditor in a Post WWII kwahiyo ikaifanya US iwe na nguvu sana coz yenyewe na Urusi hazikuumia sana kwenye vita..
Soma Historia acha ushabiki maandazi
Vita ya sasa imebase kwenye Technology zaidi
Hao machoko wanaweza wakakaa tu ofisini na laptops wakakuangamiza popote ulipo 🤣
Hujui ulichokiandika, usiichukulie poa UK wewe.Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
Eti anasema What a joke!!Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Bure kabisaUrusi hii inayotolewa kamasi na Ukraine?
Sasa kwenye technology hasa ya kivita muingereza anampitaje urusi............Urusi upande huo anavutana shati na mkubwa wa huyo UK,......Vita ya sasa imebase kwenye Technology zaidi
Hao machoko wanaweza wakakaa tu ofisini na laptops wakakuangamiza popote ulipo 🤣
Mrusi ni mzoefu lakini vita mara zote mwenye nguvu anaangaliwa akiwa field yaani kwenye uwanja wa vita, kama ukrain amechukua miaka 3 sasa bila ya malengo yake kutimia unadhan mrusi atakuwa na nguvu kiasi kukabiliana na UK ilivyo mbichi today? na usiangalie UK kama uengereza UK ule ni muungano wa nchi kubwa tena zenye nguvu, BritainHata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.
Kwa Sasa hivi haiwezi kabisa, technology imekuwa sana kwenye nchi mbalimbali duniani. Russia ataimaliza dakika chache tu, kuzamisha kisiwa chote .Vijana bana hivi hujui UK ilitawala karibu nusu ya dunia kwa karibu karne nzima?
Vijisiwa vidogo tu lkn hata Marekani, Canada na Australia waliziachia na kuzipa uhuru!
Hiyo potential haijaisha na vita ni pesa na strategies sio maombi na viapo
UK mwenyewe unajua ni muungano wa nchi ngapi? tuliza kichwa chako kidogoUK hawezi kuimudu vita na Russia wanajifariji kama Zelesky na kutegemea NATO
Putin usimsikilize kwa maneno angalia udhaifu wake kwenye uwanja wa vitaMimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao.
Na wasiwasi umenitoka baada ya chuma kimoja tu cha Oreshnik kudondoka dunia nzima imesimama, hawa watu walijiandaa vyema na wanachokifanya.
Ukraine, mrusi kafaidika sana kwa hio vita kuchukua muda mrefu kuliko ingechukua muda mfupi,,,,,kaua ndege wengi kwa jiwe 1,,kuanzia kiuchumi, kijeshi hadi kisiasa,, influence yake imekua kuliko kabla ya hio vita,,, huoni hata Netanyahu mwenyewe kwenye usuluhishi pale gaza imebidi amtafute Putin maana alishamuona babu Biden anapwayaMrusi ni mzoefu lakini vita mara zote mwenye nguvu anaangaliwa akiwa field yaani kwenye uwanja wa vita, kama ukrain amechukua miaka 3 sasa bila ya malengo yake kutimia unadhan mrusi atakuwa na nguvu kiasi kukabiliana na UK ilivyo mbichi today? na usiangalie UK kama uengereza UK ule ni muungano wa nchi kubwa tena zenye nguvu, Britain
Udhaifu kabeba nchi na watu wamepiga kura hapo udhaifu uko wapi,, udhaifu angekua anapigana miaka yote hio na hakuna alichoambuliaPutin usimsikilize kwa maneno angalia udhaifu wake kwenye uwanja wa vita
Russia anaweza kumaliza vita na Ukraine kwa siku chache kama atafanya kama USA na Israel wanavyofanya uko kwa wapalestina au USA na washirika wake NATO walivyofanya kwa Iraq,kuuwa mpaka sisimizi , bomoa majengo ovyo ovyo. Putin ana uwezo huo lakini ubinadamu wake umefanya vita ichukue muda mrefu. Israel pamoja na misaada ya silaha na pesa toka USA, UK, France, Italy na kwingineko ni mwaka Sasa kuchukua eneo dogo la Gaza sawa na Wilaya ndogo ya Kisarawe au Kisarawe ni kubwa.Mrusi ni mzoefu lakini vita mara zote mwenye nguvu anaangaliwa akiwa field yaani kwenye uwanja wa vita, kama ukrain amechukua miaka 3 sasa bila ya malengo yake kutimia unadhan mrusi atakuwa na nguvu kiasi kukabiliana na UK ilivyo mbichi today? na usiangalie UK kama uengereza UK ule ni muungano wa nchi kubwa tena zenye nguvu, Britain
Sasa kama ni hivyo kwa nini Putin amelazimika kukodi askari toka North Korea kumsaidia vita na kulazimika kutoa pipa zake za mafuta kwa mamilioni lakini pia pamoja na nafaka kama mchele in exchange na North Korea ili apate hao wanajeshi? au pia ni ubinaadamu wake ana uwezo kumaliza vita. sijui ni kwanini hufahamu uwezo wa russia kivita baada ya vita ya Ukraine hivi sasa, vitani ndio majibu nani ana nguvu nani ni mdomo mtupuRussia anaweza kumaliza vita na Ukraine kwa siku chache kama atafanya kama USA na Israel wanavyofanya uko kwa wapalestina au USA na washirika wake NATO walivyofanya kwa Iraq,kuuwa mpaka sisimizi , bomoa majengo ovyo ovyo. Putin ana uwezo huo lakini ubinadamu wake umefanya vita ichukue muda mrefu. Israel pamoja na misaada ya silaha na pesa to USA, UK, France, Italy na kwingineko ni mwaka Sasa kuhukuu neo dogo la Gaza sawa na Wilaya ndogo ya Kisarawe au Kisarawe ni kubwa.
Kwa Sasa hivi haiwezi kabisa, technology imekuwa sana kwenye nchi mbalimbali duniani. Russia ataimaliza dakika chache tu, kuzamisha kisiwa chote .
Muingereza ni siasa tu ndio anatisha duniani. Kuhusu vita hana nguvu ya kupigana na Mrusi hata siku moja.Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
Mnaongelea miaka ipi ambayo Uingereza imeshindwa vita?PUMBA. Hapa hatuongelei mambo ya miaka 100 iliyopita. Miaka hiyo ata Israel alikuwa anatumia siku moja kfika Beirut baada yakuvuka boda ya Lebanon. Lakini sasa hivi miezi 2 wame stuck hapo boda. Acheni kukariri