superphoto
Member
- Aug 17, 2024
- 51
- 79
Kwanini aliamua kuingiza timu huku akiona hali ya hewa haiwezi.Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.
Climatic condition ndiyo ilikuwa shida na si vinginevyo..