Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Urusi wasn't a match to a Germany Army hata kidogo..,bila ya US huyo Russia angeshalambishwa chini.
Climatic condition ndiyo ilikuwa shida na si vinginevyo..
Kwanini aliamua kuingiza timu huku akiona hali ya hewa haiwezi.
 
Ogopa sana mtu aliekuzidi skills maana akilli kila mtu anazo ila matumizi ndio tofauti (kama vile useme bongo lala)
 
Kila siku nasema ile iliyokuwa USSR ndio ilikua kiboko lakini sio hii Russia ambayo leo inasaidiwa vita na North Korea ambaye ni mchovu zaidi.

Russia silaha kuu aliyobaki nayo anayotishia watu ni nyuklia tu ambayo na wengine pia wanayo.
 
Kwa jeshi gani walilo nalo? Wanajeshi wa jeshi la Uingereza 70,000 si wanajaza old trafford tu.

Uingereza inadhani hii ni miaka ya 1800s walipokuwa kwenye ubora
 
Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.

View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .

What a joke 😂😂
Mkuu nami nimejikuta nacheka kwa sauti namna ambavyo unaichukulia Uingereza poa!
 
Ulimwengu huu wasasa ndio umelala zaman ilikua no maneno, ukifanya fyoko watu wanavamia uanajeshi ilikua kaz yakifo sio saiv imekua ajira
Uingereza hana ubabe wa kumtisha yeyote kivita kwa sasa. Labda azitishe Tanzania na Kenya.
 
Vijana bana hivi hujui UK ilitawala karibu nusu ya dunia kwa karibu karne nzima?

Vijisiwa vidogo tu lkn hata Marekani, Canada na Australia waliziachia na kuzipa uhuru!

Hiyo potential haijaisha na vita ni pesa na strategies sio maombi na viapo
Umeandika udoko,je turkey au ugiliki wanaweza kuitisha hata china?
 
Ulimwengu wa sasa ni teknolojia tu.

Mbwembwe za Iran zote zimeisha baada ya kuharibiwa eneo lake alilokuwa akilitegemea.
 
Mimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao.

Na wasiwasi umenitoka baada ya chuma kimoja tu cha Oreshnik kudondoka dunia nzima imesimama, hawa watu walijiandaa vyema na wanachokifanya.
PUTIN alishasema kitambo " We have not started anything serious yet"
 
Back
Top Bottom