Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Zama mpya ndio hizi?Alitawala zama za giza.
Silaha Taifa lako bado linanunua kwake, kila kitu cha maana linatoa kwake na bado anawapa donations mbalimbali akitaka kukutawala tena atashindwa?
.
Au Tanzania mmeanza kuunda silaha zenu?😝😝