Uingereza yalaani shambulio la Iran

Uingereza yalaani shambulio la Iran

Alitawala zama za giza.
Zama mpya ndio hizi?
Silaha Taifa lako bado linanunua kwake, kila kitu cha maana linatoa kwake na bado anawapa donations mbalimbali akitaka kukutawala tena atashindwa?
.
Au Tanzania mmeanza kuunda silaha zenu?😝😝
 
Hahah Australia wameita mpk army reserve kuja kupambana na moto hao wanajeshi wa kupigana na Iran itawatoa wapi,hahah.

Canada imebidi ijaribu kuwasaidia Australia kuzima huo moto maana la sivyo wataisha.

Hao wakizingua unapiga kombora moja tu kwny misitu yao moto unaendelea kwa kasi unawaacha wanazima moto tu hahah.






dodge
Sasa unaleta utani kwenye jambo serious.
Nimekuuliza una elimu ya mioto ya kiangazi au mioto ya asili?
 
Watani zangu Liverpool mna mkosi ...


Uingereza anasogeza pua Vita na iran,.... Iran anaangusha Bomu pale London na EPL inasimamishwa huku Liverpool akilikosa Kombe kale ...


Ligi itarudiwa mwakani ...


Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu, Mohamed Salah ghafla anastaafu Mpira kuwaunga mkono Irani uwanja wa mapambano[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Albert Einstein alijisemea kama ikitokea vita ya 3 hajui itapiganwa na nini,ila vita ya 4 ya dunia itapiganwa kwa fimbo na mawe. Unajua kwa nini?Kwa sababu techlogy imeendelea mno. Watu wana silaha za kuteketeza dunia nzima in minutes. Hivyo vita ya tatu itairudsha dunia tu zero.
Tuseme tu WWIV haipo..
 
Haahhhah Kasim alivyouliwa hawakulaani walibariki watu wamewajibu wanalaani .Hii ni moja ya unafki mkubwa wanaouonesha.Wamarekani watajiharibia image yao. Nchi kama Korea na Urusi wamekata mazoea nao maana ukiwaendekeza wanakufanya mtumwa
 
BREAKING: Iranian official tells state television that his country can hit a hundred other American targets if the Trump Administration retaliates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom