Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Israel wameshambulia Iran unasemaje sasaKati ya vitu ambavyo israel itajishauri sana kabla ya kufanya ni hii ya kujibu mapigo kwa Iran, wakibugi tuu inakula kwao.
Kapiga tayari,
Tena mabomu sio hata vidroni, na ndani kabisa ya Iran.
Tayari Israel kajibu mkuu,
Israel wameshambulia Iran unasemaje sasa
Wanamini Mungu yupo nyuma Yao au wanaamini Marekani na Uingereza wapo nyuma?Nijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!
Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe
Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa
Wanamini Mungu yupo nyuma Yao au wanaamini Marekani na Uingereza wapo nyuma?
Zile drone 300 kama sio Uingereza kuwasaidia zingetua zote pale TelAviv si ingekuwa balaa
Sasa vile ni vidrone vya bei rahisi na uwezo wake ni mdogo ngoja arushiwe zile ambazo hazionekani na rada yoyote
zinamfano wa upepo?Wanamini Mungu yupo nyuma Yao au wanaamini Marekani na Uingereza wapo nyuma?
Zile drone 300 kama sio Uingereza kuwasaidia zingetua zote pale TelAviv si ingekuwa balaa
Sasa vile ni vidrone vya bei rahisi na uwezo wake ni mdogo ngoja arushiwe zile ambazo hazionekani na rada yoyote
Na haiwezi kutokea kwa sababu tayari Israel imenywea.
Sawa wameshambulia, mbona wamejifucha hawataki kuongea chochote? Wajitokese waseme chochote kama wao kweli vidume.Israel wameshambulia Iran unasemaje sasa