Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

Tayari miji saba ya Iran imepokea kipigo cha haraka haraka usiku usiku kutoka kwa mazayuni.
Israel hapendi kucheka cheka na kima ya kiarabu.
 
Tayari Israel kajibu mkuu,

Au ni ule mwendo was calibration wa mapigo yasiyokuwa na madhara?

IMG_20240419_090059.jpg
 
Nijuavyo, Israel ndio taifa lenye historia na vita vingi kulijo taifa lolote duniani, anajua kupiga na kupigwa pia anajua!

Mpaka hapa, Isarael anaweka mambo yake sawa tu ili vita kamili vipiganwe

Hawaogopi majeshi yoyote, wao wanaamini kila vita, Mungu JEHOVAH yuko nyuma yao na wanaamini zaidi kushinda kuliko kushindwa
Wanamini Mungu yupo nyuma Yao au wanaamini Marekani na Uingereza wapo nyuma?

Zile drone 300 kama sio Uingereza kuwasaidia zingetua zote pale TelAviv si ingekuwa balaa

Sasa vile ni vidrone vya bei rahisi na uwezo wake ni mdogo ngoja arushiwe zile ambazo hazionekani na rada yoyote
 
Kwa mwendo huu wala haipo haja ya kumrushia lolote:

IMG_20240419_091613.jpg
 
Wanamini Mungu yupo nyuma Yao au wanaamini Marekani na Uingereza wapo nyuma?

Zile drone 300 kama sio Uingereza kuwasaidia zingetua zote pale TelAviv si ingekuwa balaa

Sasa vile ni vidrone vya bei rahisi na uwezo wake ni mdogo ngoja arushiwe zile ambazo hazionekani na rada yoyote
zinamfano wa upepo?
 
Back
Top Bottom