Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

Hakika...!!!!
 
Na kwa nini magaidi wawe ni watu wa dini moja tu kila siku?????
 
Ujinga mtupu.
Nani amewahi kusikiliza chombo cha habari cha ISIS kinachoitwa Amaq.Atuletee anuwani yake ili tuthibitishe habari za daily graph.
Haya mataifa ya kibeberu kwa kupenda kwao kusema uwongo na kudharau watu sasa ndio wanasambaratika.Kwani akili zetu si kweli kuwa ni duni sana kuliko zao.
 
Uzishi mtupa umeona wapi Operation za kijeshi zinatangazwa kabla ya tukio kufanyika.
Tukio la kijeshi linafanyika ndipo wanaweka taarifa wazi
 
Nadhani bado SADC haijaweza kuunda kikosi maalum cha hizo operations.

Hata hivyo jukumu hilo ni la AU.
Kikao kimeshakaa msumbiji cha sadc na Tanzania tuliwakilishwa na Hussein Mwinyi. Mambo mengine ya kukusanya taarifa na kuchagua vikosi hayo ni mambo ya siri. Tutaona matokeo tu..
 
Wakuu vipi hao makomandoo walifanikiwa kumuokoa huyo mtu(mzungu)
 
Hii habari ya Siku nyingi kabla ya Kagame hajapeleka vikosi huko.Je,huyo raia aliokolewa?!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jf raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…