Kivipi Mkuu? Hao wahuni hawazidi hata 100,complexity yake inakuwaje? Hizo ni propaganda tu kwamba ni biashara ya silaha,mbona huku kwetu walimalizwa? Kwenye maswala ya usalama wa nchi hautakiwi kucheka na KIMA maana utavuna mabua,ni operation ya kukamata na kuwaunguza na acid tu.
Hao wahuni zaidi ya Ak47/SMG hawana silaha za kutisha zaidi ya hizo,sasa majeshi yana kila aina ya silaha wanashindwaje kuwadaka hao wahuni ambao wameingia phyisically nchi mwako? Wakipiga Operation ya wiki mpaka kwa mpaka nyumba kwa nyumba na wakazunguka mji wote sehemu zote za kutokea lazima wawakamate.