Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mfaransa namtazama kwa jicho la mfitini mbwa yule..... Popote aendapo anaacha uhasama mbwa yule.....Mkuu mbona unanifanya niwaze Sana bomba la mafuta la kutoka HOIMA +0756 kwenda CHONGOLEANI +0755 linajengwa na kampuni ya kifaransa ya TOTAL kumbuka na sisi tuna gesi kule kisini Kama songosongo msimbati isije ikawa n target TU ya kumonopolize hizo resources kwa kigezo cha kujrnga urafk kupitia bomba la mafuta
Dah ulimwengu una Siri nzito Sana