Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hakika...!!!!Na wajinga ndiyo hao mitaji ya hiyo biashara ya silaha,
LNG miradi inakuza nchi zao, na wenyeji waliokuwa ndugu zao ndiyo wanaopata dhahana, wageni ni wachache SANA, watoto na mama zao kuingizwa kwenye utumwa wa kivita na kingono.
Dalali anaishi Dubai 7* mpiganaji anaishi huko msituni mapangoni, ujinga.
Everyday is Saturday............................... 😎