Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
- Thread starter
- #41
Misitu wanayo mkuu huko ndiko hujifunzwa.Mkuu hao ndiyo walinzi wa mradi!
Hao makomando wa Uingereza walikuwa Nairobi wakifundisha sijui kina nani vita ya msituni. Wakati wao Waingereza kwao hakuna misitu.
Tabia ya Beberu ni kujirushia mkojo wake!
Everyday is Saturday............................... 😎
Kuna aina tatu za vita ya ardhini kuna vita ya msituni "Bush Warfare", vita ya mjini au "urban Warfare"na vita ya mwenye silaha nzito dhidi ya kikundi kidogo chenye silaha hafifu yaani "asymmetrical warfare", ambacho hufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Hivy hawa wamepelekwa kwa hiyo aina ya tatu ya vita ya "asymetrical warfare"