Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

makomandoo watatu mpaka nimejikuta nacheka. asset tatu sawa na matrafiki 312 wa TZ. komandoo mmoja full equipd 62 mil tSH. jumlisha training sio watu hao ni mashine. makomandoo wetu tuache kuwavunjisha matofali na mafimbo. wao sio wanamazingaumbwe.
Yule mmoja wa SAS aliingia peke yake huko Dusit 2, sembuse hawa watatu. Alafu sio watatu, media inatumika kuzingua waasi, hiyo lazma wako team kama mbili au tatu hivi. Na usisahau baharini bado wamejiseti. Kuna watu watalizwa humo! 🤣
 
SAS(special air service)
SBS(special boat service)

Vyote ni vikundi vya SF vya Uingereza, na kazi zao zinautofauti kidogo sana lakini training na selection yao ni sawa. Not for the faint hearted, wanakwambia, sio kila jeshi anafaulu selection course ya vikundi hivi. Na wanaofaulu na kuhitimu ndio wale viumbe unaweza dhani ka progamiwa kiaina, yaani wako almost to perfection quality of SF
 
😂 😂 😂 Hawa wanahitaji wasaidiwe na 'MOAB' moja tu kutoka USA. Kazi laini tu, ni vile siku hizi sheria kibao lakini kazi laini hiyo kwa mzungu.
 
Safi sana mkuu. Huyo jamaa anadai England hakuna misitu, kwani kumekuwa Uarabuni? 😂 😂 😂
 
Unakumbuka captain Phillips Ile movie, true story. Pahali popote mzungu atapatikana na shida inje ya nchi yao, atafuatwa liwe liwalo bora mtu arudi nyumbani. Kufariki huwa bahati mbaya na tena inajulikana hiyo kunaezatokea chochote ndio maana wanapelekwa ni Best SF, wenye uzoefu. Jeshi akifariki, hapo ndipo kazi yake inapoisha, lakini raia anafaa arudi mzima.
 
SAS huwa Wana operate wakiwa watatu mission zote wanazofanya.
4-5 members per squadron, each one with a specified skill beside the military capabilities ie coms guy, commander, medic, engineer etc Lakini wote hatari yao kwa vita ni sawa
 
Yote hii inaanza na kitu kiitwacho usaliti ndani ya jeshi. Humohumo jeshini kuna wanajeshi wenyekofia mbili moja ya uana jeshi na ya pili uasi. Kazi yao kuvujisha siri ya kila linalopangwa jeshini.
 
Sema mkuu hawa watu walio jazwa imani za kipuuzi kupambana nao ni shida sana maana hua wanaua raia wasio na hatia nilikua naangalia documentary vice news.Hawa sio wakuwachekea km ukiwakamata nikumtandika hasa mpaka ataje washenzi wenzake wako wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…