Uislam na Ukristo siyo maadili ya Mtanzania na Mwafrika, ni moja ya nyenzo ya mmomonyoko wa maadili

Hakuna jamii àmbayo haikutembea matako Wazi Kulingana na historia ya Dunia
Ndugu yangu mila zako ni ulizozikuta miaka hii kama uliona watu wanatembea matako wazi kama kweny vitabu basi fuata , ila tambua wazazi wako mazingra waliyokulea ndio mila zako sio za waliopita ....Dunia isingefika hapa hata wazungu walikuwa chini .

Vitabu vinaonyesha Adam alikuwa hajaendelea akafundishwa , zikaja zama kibao za mitume tofauti ndio maana waliishi mwaka 1800 leo hawapo walishapita.
 
Kama umejitambua kwa elimu ya mzungu basi ulichoandika ni unafiki , wazee wa zamani walikuwa smart na more resistant kuliko wa sasa , ilikuwaje dini zikaingia? Hpo hamna jibu bali dini ni mpango wa Mungu ndio maana zilisambaa mpaka ulaya.

Kusambaa Kwa Dini za kigeni hakukuwa Kwa hiyari. Wazee wetu walipoteza pambano kama vile unavyoona kinachoenda kutokea Kwa waarabu Hapo Mashariki ya Kati

Karne ya ngapi hiyo unaelezea hii Stori?


Mila zinabadilika lakini hiyo haimaanishi zinakuwa Mila za jamii ñyiñgine.
Wanachopigania waarabu ndicho ulichoeleza Hapa.
Wao hawaogopi Mila zào kubadilika lakini hawataki zibadilike na kupoteza utambulisho waô na kuwa kama Mila za kizungu. Hata wachina nao wanafanya vivyohivyo
Basi usisome wala kutumia jf na simu kabisa maana babu zako hawakusoma , hata hao watu weupe nao walianzia chini kama mwafrika.
Hapa sijui Unazungumzia nini?
 

Maadili huyajui ndîo maana hujui hata unachokifafanua?
 
Usilinganishe Uislam na Ukristo, ni vitu toofauti kabisa.

Uislam ni dini, Ukristo siyo dini.
Wote walewale wametokea sehemu moja na siasa zao wakazirithisha na huku
 
Jina gani ambalo ulishawahi kuskia limekataliwa kwamba ni la mizim?
Mbona hata watumishi wenye majina makubwa majina yao ni ya kilugha (mwamposa, suguye,mwakasege, hananja nk).
Kwa hyo na kuvaa suruali na shati ni technology au ni utamaduni?
Vp na kuishi kwenye nyumba za kisasa ni teknolojia au utamaduni? Na umeiga kwa nan?
 
Kûna uhûsiano gàni Kati ya maadili na Teknolojia?

Maadili Unazungumzia kizuri na kibaya

Gari hata wewe unaweza Kutengeneza kama vile china wanavyofanya.

Teknolojia ya Afrika iliathiriwa zaidi baada ya ujio wa wakoloni.
Si ww unapinga kila kilicholetwa na mataifa ya nje ya Africa? Basi kataa kila kitu ikiwemo hiyo simu yako na nyumba unayoishi urudi mapangoni maana ndo asili ya Africa.
Halafu hunakatazwa kuabudu mti abudu kivyovyote unavyojiskia Kwan utapigwa?
 
kwann tuliacha science yetu ? hiyo ndo hoja
Kwan umekatazwa kuchukua ungo wako ukapata zako?
Ulishawahi kuskia sheria inayokataza matumizi ya tamaduni za asili?
Hiyo kuacha jiulize mwenyew maana umeacha bila kulazimishwa na mtu yeyote na haihusiani na dini maana umeamua mwenyew
 
Wote walewale wametokea sehemu moja na siasa zao wakazirithisha na huku
Siyo kweli kabisa.

Huujuwi Uislam ndiyo tatizo lako, unataka kufananisha na hizo biashara zingine.
 
Huyo Mwamposa anaitwa Mwamposa?
Hilo ni jina la ukoo. Bila Shaka anaitwa Boniface.
Je umebatizwa? Kuna mkatoliki anabatizwa kwa jina lisilo la 'mtakatifu'?

Teknolojia ya kutengeneza mavazi imekuwa dunia nzima. Popote utakapoenda, Iwe China, Tanzania au au Japan l, watu wanavaa T-shirt na Jeans.
Suala ni wachina au wajapani bado wanavaa mavazi ya mtindo wa kwao kila mara mitaani na kwenye matukio mbalimbali ilhali wabongo hatuna hata vazi la kusema hili ni letu la kitamaduni. Labda uite wamasai.
 
Kwa hapa umetema madini mtani, si sahihi kuacha Mila zetu, hili jambo la Mila nilikuwa nalichukia sana miaka ya nyuma ila Sasa hivi sisimizi yeyote...

Ila Mila ikiwekwa na dini mixer anapatikana mtu Mmoja mzuri sana- A very civilized person.

Tumeziacha Mila zetu hususani wasomi ndio maana mabumunda wamekuwa wengi, Yani mtu ana masters na HAWEZI Unda chochote na akakiingiza sokoni kikaleta athari chanya kwenye jamii.

Tuna Laana, tumeacha Mila zetu, hatuwezi kufanya chochote Cha maana na ulimwengu wa kiroho unatutazama tu unasema watazurura sana Hawa.


Kila mtu anawaza kuwa msanii au mwanasiasa.

Hebu fikiria badala Iwe kwamba mtu maarufu na mwenye nguvu Tanzania ni mvumbuzi wa kitu flani ambacho kinasaidia jamii Nina uhakika hapa watu maarufu 30 kwenye nchi hii wakitajwa list itajazwa na watu wa michezo siasa Sanaa - Starehe, Starehe ndio...

Tumeacha Mila ushoga, usagaji - vitu vya kuletewa, unaongezeka, hivi Wazazi wangeenda kwao na kulia kuomba kimila haya matatizo Mbona ni madogo...
 
Kumbe huna utamaduni 😂😂😂 basi washukuru waliikuletea hui utamaduni wa mavazi 😂😂
 
Kwani NIDA wameshawahi kukataa jina lako?
 
Kiuchumi mbali.kijamii tuanzie
1

Tunasema Mila zetu na maadili yetu mabaya kana kwamba hakuna maadili au Mila zetu zilizo nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…