Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Mtibeli upo sahihi, nakubaliana wewe
Naam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtibeli upo sahihi, nakubaliana wewe
Uislam sio mavazi
Sio mmomonyoko, kimsingi ni mageuzi. Na hii ni kwasababu sio maadili yote yanatoweka tamaduni zikichanganyika. Kuna maadili ya jumla ambayo jamii zote zinafuata mfano watoto kuheshimu wazazi...
Tulichobadilishiwa ni mambo madogo tu kama mavazi, lakini maadili binafsi(subjective morality) ambayo hayachochewi na tamaduni yeyote ni ya jumla na kila mwanadamu anayafuata.
Yale haufundishwi unayajua kadri unavyoishi na viumbe wenzako, hata wanyama wana maadili yao....
Mtu anatumia muda mrefu kuandika ujinga tu. Mhh kazi ipo
Hiyo ni teknolojia.Lakini haupingi uvaaji wa nguo za viwandani (ulizoletewa na hao waleta dini), matumizi ya simu, usafiri, na umesoma elimu yao😂😂
Si ni wabaya kwa nn usivikatae vyote?
Endelea kushupaza fuvu....UISLAM NA UKRISTO SIÔ MAADILI YA MTANZANIA NA MUAFRIKA NI MOJA YA NYENZO YA MMOMONYOKO WA MAADILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kîla jamii inamaadili yake. Maadili yanatokana na ûtamaduni wa jamii Husika. Kîla jamii inautamaduni wake.
Maadili ni mafundisho yanayotolewa kwèñye jamii yenye kuonyesha Tàbia Njema na tàbia Mbaya na kutaka Watu wafuate mambo Mema.
Maadili ya jamii Moja huweza kutofautiana na maadili ya jamii zingine. Ingawaje Yapo maadili àmbayo yanafanana.
Kukiuka Maadili ya jamii yako ndîo huitwa MMOMONYOKO WA MAADILI.
Muafrika anamaadili yake kutokana na tamaduni Zake.
Wazungu wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Waarabu wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Wachina, wahindi n.k wôte wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Kîla jamii ina Mila na desturi nzuri na Potofu. Mila na desturi au tuite maadili huwa potofu Kwa sababu mbalimbali lakini sababu kûbwa ni Wakati(Zama) na sababu ya pili utofauti Kimila.
Mfano, kile kinachoonekana NI maadili Mema Kwa jamii Moja siô ajabu kikawa NI maadili potofu Kwa jamii ñyiñgine
Mathalani, Ndoa za mitala NI maadili Mema Kwa jamii nyingi za kiafrika na Mashariki ya kati lakini Kwa jamii ya kizungu siô maadili
Ukeketaji ni maadili Mema Kwa Baadhi ya jamii za kiafrika lakini Kwa wazungu NI Mila Potofu.
Mahari ni maadili Mema Kwa jamii nyingi Duniani ikiwemo jamii za kiafrika lakini Kwa jamii nyingi za kizungu NI maadili potofu.
Upotofu na usahihi mara nyingi hutokana na mabadiliko ya kizama(kinyakati) na tofauti za kiutamaduni.
Ukristo na Uislam siô maadili ya Mtanzania na Muafrika Kwa ujumla.
Huwaga nashangaa nikisikia Mtu akiwaita Wengine Hawana maadili Wakati Muda huohuo MTU huyo NI muislam au Mkristo.
Muafrika mwenye maadili hawezi kuwa Muislam au Mkristo. Kuwa Muislam au Mkristo ni kukosa maadili ya kiafrika na pia ni mmomonyoko wa maadili.
Kukaidi, kukiuka, kutofuata maadili yako ya asili na kufuata maadili ya jamii ñyiñgine hiyo ndîo tofsiri halisi ya MMOMONYOKO WA MAADILI.
Maadili humong'onyolewa na vitu vingi lakini kikubwa zaidi ni Muingiliano WA tamaduni zaidi ya Moja Kwa kile kiitwacho utandawazi.
Huwezi Acha ûtamaduni wako na kuita tamaduni za Wengine ni maadili. Kitendo cha kuacha tuu na kusaliti ûtamaduni wako ni mmomonyoko wa maadili tosha.
Kabla ya Wageni kuja, waafrika walikuwa na maadili Yao Mema tuu. Hii haimaanishi hapakuwa na Mila mbaya na potofu.
Nilishasema kîla jamii inamila Zake nzuri na Mbaya.
Mila mbaya kama uchawi, Kutoa Watoto kafara, unyanyasaji WA kijinsia, n.k zilikuwepo Karibu jamii zote hata jamii za kizungu zilikuwa na Mila hizô.
Jamii za kiafrika zilikuwa zinaabudu katika Mungu Mmoja kupitia mizimu ya mababu kama ilivyo Kwa Waislam na Wakristo ambao huamini katika Mungu Mmoja katika mitume na Manabii.
Kabla ya ujio WA uislam na ukristo waafrika walikuwa na maadili kuliko Zama hizi baàda ya ujio wa Dini hizi.
Ûkienda kwèñye jamii Ambazo hazina Ukristo au Uislam zina maadili ukilinganisha na jamii Zenye Ukristo na Uislam.
Nenda Umasaini ndanindani, nenda Kwa Wahadzabe na watindiga Huko utajionea mwenyewe
Maadili ya kwèli hayafundishwi Kanisani au Misikitini. Maadili hufundishwa nyumbani.
Maadili yanauhusiano na asili ya Mtu na mîungu Yao.
Baadhi ya mafundisho ya kikristo na kiislam yanaweza kuwa mazuri Kwa kiwango cha juu lakini haimaanishi NI mafundisho Bora kuliko yale mafundisho ya asili Yenu, Wazazi wako, Babu zako Ambao wewe ndîo umetokea.
Maadili pia hufanyiwa matengenezo (reformations) ili yaendane na wakati Husika. Hata maadili ya kiislam na Kikristo yamefanyiwa marekebisho mengi tuu kufikia Hapo yalipo.
Maadili NI utambulisho yaani ûtamaduni. Mtu kutokuwa na maadili ya Kwao inamaanisha Hana utambulisho na Hana maadili na amemomonyoko kimaadili.
Yàani kikawaida Huwezi kuwa Muafrika Ukawa Mkristo au muislam alafu ukajiita unamaadili labda Kama hujui mantiki ya maadili yenyewe.
Unaweza Ukawa mwema na Mtu Bora Kwa kufuata tamaduni za kwetu zile zilizobora. Lakini zile zilizombaya ukaziacha.
Kûna wale watakaokuja na hoja ya Teknolojia.
Kwamba Kwa nini tunatumia Teknolojia za kigeni.
Mfano Simu au Magari n.k.
Tunaweza Kutengeneza Simu Kulingana na ubunifu wa tamaduni zetu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Kwa Sasa Dar es salaam
ndo maana nasema mmomonyoko sio neno sahihi,Zîpo jamii ûtamaduni waô ushoga siô dhambi hasa jamii za Ulaya na Baadhi za Mashariki ya Kati. Ndîo walikuwa wakiitwa Wapagani na Mayahudi, kwani Dini(ûtamaduni )ya kiyahudi siô maadili kuwa shoga ila kwa Wapagani kwao sio tatizo.
Kitu ili kimomonyoke lazima kiwe contaminated au interacted na kitu kingine.
Bila Muingiliano WA maadili Hakuna msamiati mmomonyoko wa maadili.
Mfano, ûtamaduni wa kiafrika ukichangamana na ûtamaduni WA kizungu Kisha ule WA kizungu Ukawa na Ñguvu utamomonyoa maadili ya kiafrika huku yale ya kizungu yakibaki stable.
Unaweza ukajiuliza, why waarabu na wazungu au wachina waô hawafuati maadili yetu?
Endelea kushupaza fuvu....
ndo maana nasema mmomonyoko sio neno sahihi,
ikiwa ushoga ni ruksa kwa wazungu, huo ni mtazamo wao, kama sisi tunauchukia ni mtazamo wetu
sasa ikifika mahali tukaamua kuuruhusu basi tumebadili mtazamo, tumefanya mageuzi
ushoga kimsingi sio kitu kizuri ama kibaya, inategemea na mtazamo
mmomonyoko wa maadili ni wazo la kijima
Huo ujinga usiongeze hadharani au mbele ya watoto utachekwa. Kila jamii ilikuwa na maandishi yake ya asili kama ilivyo middle east na far east mfano wachina, wahindi, waarabu , waithiopia wote walikuwa na maandishi hivyo hao wamisionary walipokuja Africa wakafuta Kila kitu na ku promote alfabeti zao ila walishindwa sehemu zingine
Hujui lolote wewe, na akili yako imefungwa na vitabu vya historia ya hao wakoloni. Kila jamii ilikuwa na lugha na maandishi yake ya asili. Zile ambazo zilikuwa strong kwa wakoloni ndio Wana alfabeti zao mpaka Leo. Wale mdebwedo ndio wamekuwa watumwa wa alfabeti za kiarabu na kizunguunachanganya mambo Ethiopia ndiyo walikuwa na lugha insyoandikika lkn kwetu haikuwepo, hakuna mtu anayeweza kufuta kitu kama hicho, Ukristo umekuja kwetu miaka 150 tu iliyopita, sasa kabla ya hapo kulikuwa na nini? kulikuwa na maktaba yetu wapi iliyochomwa moto? kuna vitabu gani tuliandika? kama unavyosema ni kweli records ziko wapi? kwa nini hawakufuta India kwa maana sankrits waliikuta na bado ipo mpka leo hii, sasa wewe unayesema kwamba tulikuwa na maandishi yetu yepi hayo ? huwezi kufuta kila kitu kusiwe na kumbukumbu popote hata kwenye mapango?
maadili ni kanuni za mahusiano baina ya watuMaadili nini Kwa ufupi?
Na mmomonyoko wa maadili NI nini?
wew akili ishaoza , unahisi maish yameanza 1874?
Hujui lolote wewe, na akili yako imefungwa na vitabu vya historia ya hao wakoloni. Kila jamii ilikuwa na lugha na maandishi yake ya asili. Zile ambazo zilikuwa strong kwa wakoloni ndio Wana alfabeti zao mpaka Leo. Wale mdebwedo ndio wamekuwa watumwa wa alfabeti za kiarabu na kizungu
maadili ni kanuni za mahusiano baina ya watu
kwa vile maadili hayatoweki yanabadilika, hatuwezi sema yamemomonyoka, ni kwamba yanageuka
Tamaduni za kiafrika zina do and don't do dini ni don't doNani kasèmà Uislam NI mavazi?
Uislam ni Dini. Katika Dini kuna Sheria na mafunzo ya mavazi
Tamaduni za kiafrika zina do and don't do dini ni don't do
Ngoja wawakamue tuone kama Mbinguni mtafika 😃😃😃😃UISLAM NA UKRISTO SIÔ MAADILI YA MTANZANIA NA MUAFRIKA NI MOJA YA NYENZO YA MMOMONYOKO WA MAADILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kîla jamii inamaadili yake. Maadili yanatokana na ûtamaduni wa jamii Husika. Kîla jamii inautamaduni wake.
Maadili ni mafundisho yanayotolewa kwèñye jamii yenye kuonyesha Tàbia Njema na tàbia Mbaya na kutaka Watu wafuate mambo Mema.
Maadili ya jamii Moja huweza kutofautiana na maadili ya jamii zingine. Ingawaje Yapo maadili àmbayo yanafanana.
Kukiuka Maadili ya jamii yako ndîo huitwa MMOMONYOKO WA MAADILI.
Muafrika anamaadili yake kutokana na tamaduni Zake.
Wazungu wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Waarabu wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Wachina, wahindi n.k wôte wanamaadili Yao kutokana na tamaduni zào.
Kîla jamii ina Mila na desturi nzuri na Potofu. Mila na desturi au tuite maadili huwa potofu Kwa sababu mbalimbali lakini sababu kûbwa ni Wakati(Zama) na sababu ya pili utofauti Kimila.
Mfano, kile kinachoonekana NI maadili Mema Kwa jamii Moja siô ajabu kikawa NI maadili potofu Kwa jamii ñyiñgine
Mathalani, Ndoa za mitala NI maadili Mema Kwa jamii nyingi za kiafrika na Mashariki ya kati lakini Kwa jamii ya kizungu siô maadili
Ukeketaji ni maadili Mema Kwa Baadhi ya jamii za kiafrika lakini Kwa wazungu NI Mila Potofu.
Mahari ni maadili Mema Kwa jamii nyingi Duniani ikiwemo jamii za kiafrika lakini Kwa jamii nyingi za kizungu NI maadili potofu.
Upotofu na usahihi mara nyingi hutokana na mabadiliko ya kizama(kinyakati) na tofauti za kiutamaduni.
Ukristo na Uislam siô maadili ya Mtanzania na Muafrika Kwa ujumla.
Huwaga nashangaa nikisikia Mtu akiwaita Wengine Hawana maadili Wakati Muda huohuo MTU huyo NI muislam au Mkristo.
Muafrika mwenye maadili hawezi kuwa Muislam au Mkristo. Kuwa Muislam au Mkristo ni kukosa maadili ya kiafrika na pia ni mmomonyoko wa maadili.
Kukaidi, kukiuka, kutofuata maadili yako ya asili na kufuata maadili ya jamii ñyiñgine hiyo ndîo tofsiri halisi ya MMOMONYOKO WA MAADILI.
Maadili humong'onyolewa na vitu vingi lakini kikubwa zaidi ni Muingiliano WA tamaduni zaidi ya Moja Kwa kile kiitwacho utandawazi.
Huwezi Acha ûtamaduni wako na kuita tamaduni za Wengine ni maadili. Kitendo cha kuacha tuu na kusaliti ûtamaduni wako ni mmomonyoko wa maadili tosha.
Kabla ya Wageni kuja, waafrika walikuwa na maadili Yao Mema tuu. Hii haimaanishi hapakuwa na Mila mbaya na potofu.
Nilishasema kîla jamii inamila Zake nzuri na Mbaya.
Mila mbaya kama uchawi, Kutoa Watoto kafara, unyanyasaji WA kijinsia, n.k zilikuwepo Karibu jamii zote hata jamii za kizungu zilikuwa na Mila hizô.
Jamii za kiafrika zilikuwa zinaabudu katika Mungu Mmoja kupitia mizimu ya mababu kama ilivyo Kwa Waislam na Wakristo ambao huamini katika Mungu Mmoja katika mitume na Manabii.
Kabla ya ujio WA uislam na ukristo waafrika walikuwa na maadili kuliko Zama hizi baàda ya ujio wa Dini hizi.
Ûkienda kwèñye jamii Ambazo hazina Ukristo au Uislam zina maadili ukilinganisha na jamii Zenye Ukristo na Uislam.
Nenda Umasaini ndanindani, nenda Kwa Wahadzabe na watindiga Huko utajionea mwenyewe
Maadili ya kwèli hayafundishwi Kanisani au Misikitini. Maadili hufundishwa nyumbani.
Maadili yanauhusiano na asili ya Mtu na mîungu Yao.
Baadhi ya mafundisho ya kikristo na kiislam yanaweza kuwa mazuri Kwa kiwango cha juu lakini haimaanishi NI mafundisho Bora kuliko yale mafundisho ya asili Yenu, Wazazi wako, Babu zako Ambao wewe ndîo umetokea.
Maadili pia hufanyiwa matengenezo (reformations) ili yaendane na wakati Husika. Hata maadili ya kiislam na Kikristo yamefanyiwa marekebisho mengi tuu kufikia Hapo yalipo.
Maadili NI utambulisho yaani ûtamaduni. Mtu kutokuwa na maadili ya Kwao inamaanisha Hana utambulisho na Hana maadili na amemomonyoko kimaadili.
Yàani kikawaida Huwezi kuwa Muafrika Ukawa Mkristo au muislam alafu ukajiita unamaadili labda Kama hujui mantiki ya maadili yenyewe.
Unaweza Ukawa mwema na Mtu Bora Kwa kufuata tamaduni za kwetu zile zilizobora. Lakini zile zilizombaya ukaziacha.
Kûna wale watakaokuja na hoja ya Teknolojia.
Kwamba Kwa nini tunatumia Teknolojia za kigeni.
Mfano Simu au Magari n.k.
Tunaweza Kutengeneza Simu Kulingana na ubunifu wa tamaduni zetu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Kwa Sasa Dar es salaam
Ngoja wawakamue tuone kama Mbinguni mtafika 😃😃😃😃