Uislam ndio dini pekee ambayo wanawake huvaa kwa kujisitiri kama Bikira Maria, Wakristo wengi wapo NUSU UCHI

Uislam ndio dini pekee ambayo wanawake huvaa kwa kujisitiri kama Bikira Maria, Wakristo wengi wapo NUSU UCHI

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi

1755448905173.png


Haya ni mavazi ya wanawake kiislam

Sheikh akimuona muumini anavaa hovyo hawezi kusema kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, atamuelimisha anachofanya sio sahihi na akiache.

2786658360072729615_36810108626.jpg


1755448962165.png


Kwa Wakristo, mchunaji akimuona muumini anavaa hovyo hawezi atasema kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, muumini ataona hana kosa lolote hata akivaa kikahaba tofauti na hapo zamani viongozi wa makanisa walikuwa serious kufuata maandiko na kuelimisha wanawake wajisitiri.

Siku hizi mama yupo na mtoto wake wa kiume alie kwenye balehe ya miaka 15 haoni shida kuvaa kimini yani mtoto anaona mapaja yote na akikaa kwenye kiti kivazi kinapanda zaidi, kama hajavaa nguo ya ndani mtoto anaona alikotokea 😢, mme yupo na mke wake alievaa nguo zinazombana kama taiti au jeans, kila mtu anajionea mchoro wa shepu kuanzia makalio yalivyo na yanavyotikiswa, hips, mapaja, n.k. Mchungaji yumo chumbani anamuombea muumini wake alievaa nguo yenye uwazi kifuani, matiti yanaonekana live. 🤦‍♂️


3056827543470147707_5894747432_2.jpg


3174756394979682847_48200007455_1.jpg


1755453256130.png



3174109680237025132_48200007455_2.jpg
 
Nusu uchi

Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za si

Nusu uchi

Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za siri
Usidanganyike hakuna kitu kinaitwa nusu uchi.

Kuna kujisitiri na kuna uchi.

Kama ujajisitiri upo uchi, hatakama ni paja tu linaonekana ama makalio ndani ya suruali

Kila mwanaume anaemtazama mwanamke kwa kumtamani tu amekwisha kuzini nae.
 
Usidanganyike hakuna kitu kinaitwa nusu uchi.

Kuna kujisitiri na kuna uchi.

Kama ujajisitiri upo uchi, hatakama ni paja tu linaonekana ama makalio ndani ya suruali

Kila mwanaume anaemtazama mwanamke kwa kumtamani tu amekwisha kuzini nae.
Ni kwasababu umeshazoea kukaa na watoto wako wa kike, dada zako hata mama yako wamevaa vimini na taiti unaona sawa tu kuyaona mapaja yao, shape za makalio yao, n.k.
 
Tatizo wanakuwaga na tundu moja liko wazi sana kwa sababu ya Sunna
 
Na huu ni uzembe wa makanisa kuchukulia poa kila kitu cha utanda wazi, zamani hali ilikuwa shwari ila siku hizi ni balaa
 
Wazee wa kabila lako kabla ya ukoloni walikua wanatembea Uchi na wengine wakijistiri Ngozi za wanyama.. hivi wao Watakua Motoni ama??
Ukikua utaelewa kwamba Dini na imani ni vitu vya akilini.. ukivihamishia mwilini vitakugeuza mtumwa wa Hiari na si ajabu ukalikosa Lengo kuu la hiko unachokitumikia..
Wanawake hata watembee uchi kwa Namna gani kwa Mwanaume anaejitambua na alieshika imani vizuri anajua namna ya kudhibiti hisia zake.. na hiko ndo kipimo stahili cha imani ya mtu..

Huwezi kurithi mbingu kama unaiogopa dhambi / Wadhambi.. yesu alikaa Na walevi na Makahaba mwisho wa Siku Shetani alimshindwa.. na saizi yupo upande wa Kuume wa Mungu.

Nashindwaga kuwaelewa mnapoita watu makafir mara sijui nini.. Mungu angetaka dunia ibaki na watakatifu Adam na Hawa wangehukumiwa siku ile ile walipo muasi Mungu then angeumba Ulimwengu mwingine.. lakini alijua ile ni kazi ya shetani akaamua kuacha ili baadae hata shetani aje atambue kuwa Kweli itabaki kuwa kweli.. Na Mungu hajaribiwi!
 
Lakini haya mambo si inategemea tu na mtu?

We umejuaje kuwa huyo aliyevaa kilemba na gauni ni Muislamu na huyo mwingine ni Mkristo?

Wale waarabu wanaocheza na vigwaya tu, chupi na vishanga vya kuning'inia, hawa ukiwahukumu moja kwa moja, unaweza kueleweka; wanaishi kwenye Shariah hawa.
 
Lakini haya mambo si inategemea tu na mtu?

We umejuaje kuwa huyo aliyevaa kilemba na gauni ni Muislamu na huyo mwingine ni Mkristo?

Wale waarabu wanaocheza na vigwaya tu, chupi na vishanga vya kuning'inia, hawa ukiwahukumu moja kwa moja, unaweza kueleweka; wanaishi kwenye Shariah hawa.
Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.

wanawake wa kiislam wanaovaa nje ya mavazi yaliyoruhusiwa hairuhusiwi, ni maamuzi yao nje ya dini.
 
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi

View attachment 3444498

Haya ni mavazi ya wanawake kiislam

View attachment 3444544

View attachment 3444500

Kwa Wakristo, hali huwa tofauti. Mtu anaweza kuwa na mama yake, dada zake au watoto wake wa kike waliovaa mavazi mafupi kama vile vimini au vigauni vifupi zinazoacha mapaja wazi, nguo zinazobana kama taiti au jeans zinazoonyesha maumbo ya mwili kama vile makalio, nyonga, hips na mapaja,


View attachment 3444551

View attachment 3444548


View attachment 3444547
Basi kata uzi halafu kalale
 
Back
Top Bottom